Search results

  1. G

    Chadema jipangeni kuchukua jimbo la Sengerema

    Ni kweli kabisa, ngereja hapaswi kuwa mwakilishi wa wananchi wala serikali.Si mnaona jinsi wizara inavyomchachafya? ukienda jimboni kwake ndo usiseme!
  2. G

    Angalizo kwa CHADEMA juu ya Jimbo la Kigoma Kusini!

    C O U G H bwana wanafurahisha. Ila namsikitikia tu huyu bwana mdogo MTATIRO aliyeamua kujiunga na MMEMKWA.
  3. G

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Naona anazidi kujipa uhakika wa kuweka wenyeji wake ili siku akienda kubadilishiwa damu asipate shida kabisa!!
  4. G

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Huyu jamaa ipo siku atatangaza kuwa MSOGA ni mkoa mpya!
  5. G

    Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Ngoja kwanza tupate rais wa TANGANYIKA ndo mtwambie huo upuuzi wenu!!!
  6. G

    Dr Slaa atolea ufafanuzi Kuongezeka kwa posho za wabunge

    "NITAWALETEA MSAIDIZI"Hayo ni maneno ya mwalimu nyerere wakati akipaa kwenda mbinguni. DR SLAA ndiye msaidizi tuliyeahidiwa kuleta ukombozi wa kweli
  7. G

    Kwa ninavyomfahamu Maalim Seif, Hamad kaa chonjo!

    Waroho wa madaraka utawajua tu! Napita tu bajameni!
  8. G

    Zitto awapasua roho wabunge

    hongera kamanda zitto
  9. G

    Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

    MAYAGE S MAYAGE ni mojawapo ktk kundi la WAANDISHI MAKANJANJA.Mimi namshauri aanzishe hicho chama kipya kitakachokuwa mbadala wa MAGAMBA 2015
  10. G

    Mh Kikwete, Je Riz1 ni sehemu ya serikali unayoiongoza?

    Wote JIZI ONE na baba yake JIZI KUBWA ipo siku yatawakuta makubwa!!
  11. G

    Rais Kikwete na mazungumzo na ujumbe wa CHADEMA

    Strategies za CDM nazikubali!!! Hapa CDM kuna kitu wanataka kufanya,bila shaka wameamua kumpa changamoto J.K. na kujua msimamo wake kabla ya kuamsha nguvu ya umma.Viva CDM songeni mbele.PAMOJA TUNAJENGA NCHI.
  12. G

    Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    DR.ASha-rose MIgiro lazima ampumlie kisogoni Comredi ENL!!
  13. G

    Bomu la machozi bungeni. Fundisho Tanzania?

    Safi sana MAGWANDA ya korea
  14. G

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    NAPE amezingatia ushauri aliokuwa anapewa hapa kwamba akitaka kupona ndani ya CCM akane kauli zake na aachane na kuwasakama akina ENL la sivyo itakula kwake
  15. G

    WHAT DO WE KNOW ABOUT RIZWAN KIKWETE? is it AS SAIF AL-ISLAM GADDAFI?

    MR.DASH 1asante sana kwa mawazo yako. Ni kweli nchi ilipofikia sasa ni pabaya zaidi.Kwa mfumo uliopo sina hakika kama ukombozi unaweza kupatikana kupitia sanduku la kura. Sisi kama umma Tunahitaji kufanya maamuzi magumu1
  16. G

    Numekula mtu (dada) na mdogo wake

    Wanawake ni dhaifu sana.Usipotumia hekima unaweza kugonga hadi mama mkwe wako.Cha msingi achana nao wote.Take care wanaweza kukudhuru.
  17. G

    Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

    Hapa SIRTE(MSOGA) fullkujiachia umeme unawaka
  18. G

    Hakitaeleweka mpaka wenzetu waachiwe!

    Kazeni kamba msikubali kurudi nyuma hata kidogo.Huyu JIZI KUBWA (JK) mkimchekea itakula kwenu!
  19. G

    Maandamano Rorya!

    safi sana!
  20. G

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Hakuna mtu mwenye bom akajilipue hapo tuondokane na hii serikali ya JIZI KUBWA(JK) yaani baba JIZI WANI?
Back
Top Bottom