Search results

  1. U

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    HII SYNDICATE NI HATARI SANA! JANUARY MAKAMBA AJIUZULU
  2. U

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Serikali ikamate haraka passport ya Rene Meza imzuie asiondoke nchini mpaka wezi wa bilioni 675 hizi za Watanzania maskini wanaonunua vocha za shilingi 500 watakapokamatwa na kushitakiwa mahakamani
  3. U

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Sadoliki you seem to be a chicken head. Many big scandals are hidden for many years because of corruption, fear and conspiracies until they are uncovered years later. For example, the IPTL agreement was signed in 1994 but it was only in 2014/15 (20 years later) that details about this scandal...
  4. U

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Huyu mwanasheria wa Vodacom Tanzania, WALARICK NITTU, aliyeandika barua hii bado yupo? Polisi na TAKUKURU wamhoji kwani atakuwa ni shahidi muhimu kwenye uchunguzi wa wizi huu mkubwa uliofichika tangu miaka 5 iliyopita.
  5. U

    Taja wanasiasa 5 ambao hawafai kuchaguliwa kuwa rais wa tanzania 2015

    1. Edward Lowasa 2. Sophia Simba (M'kiti wa UWT) 3. Khamis Mgeja (M'kiti wa CCM Shinyanga) 4. Fahmi Dovutwa (M'kiti wa UPDP) 5. Diana Chilolo
  6. U

    Waandishi wa habari wa Mbeya waitia aibu Tanzania ziara kwenye yao ya Malawi

    Watakuwa wametumwa na Membe hawa. Si bora angempeleka kipanga Kubenea?
  7. U

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Independent Thinkers ni watu wachache sana. Watanzania wengi ni wavivu wa kuamini, wanasubiri wasome vitu kwenye vyombo vya habari, eg makala za Absalom Kibanda wa Tanzania Daima zinazofadhiliwa na Edward Lowassa na Rostam Aziz dhidi ya Samuel Sitta, au waone post humu JF basi na wao kuunga tela...
  8. U

    Msemakweli amjibu Yusuf Manji kuhusu KAGODA

    Taarifa kamili hii hapa kwenye blogu: TANZANIA files
  9. U

    Msemakweli amjibu Yusuf Manji kuhusu KAGODA

    Bofya hapa inasomeka: TANZANIA files
  10. U

    Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

    Samuel Sitta na Harisson Mwakyembe nao wanafaa sana kuwa PM, Pinda ni hovyo kashindwa kazi. Ila tatizo linabaki palepale, Kikwete hawezi kuwa na Waziri Mkuu jembe kwani yeye mwenyewe ni kilaza.
  11. U

    Mhindi akamatwa Dar kwa utapeli wa 30 billion shillings

    Kwa rushwa ilivyokithiti polisi na mahakamani, huyo mhindi sidhani kama atapandishwa kizimbani hiyo kesho. Na hata akishtakiwa, basi ujue hiyo kesi itaisha yenyewe kwa serikali kupeleka mashitaka mabovu kwa makusudi. Nchi hii uibe laki tatu au milioni 3 utafungwa jela, lakini ukiiba mabilioni...
  12. U

    Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

    Kina Shyrose Bhanji, January Makamba na vijana wote mwenye uchungu na uzalendo wa nchi hii. Tokeni CCM, hamieni CHADEMA mlete maendeleo ya kweli nchini. Alama za nyakati zimeshaonesha kuwa hata waibe kura vipi, CCM hawashindi uchaguzi wa 2015.
  13. U

    Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

    JK ni janga la taifa. Alikimbilia Urais tangu 1995 tukadhani ana uchungu na taifa hili na kutaka kuleta maendeleo ya kweli. Kumbe alikuwa na ajenda binafsi ya personal prestige tu na kupata nafasi ya kusafiri kila siku kwenda Marekani na nchi nyingine kwa kutumia kodi za wavuja jasho wa...
Back
Top Bottom