Wachina wamekuwa na teknologia kubwa ya kuiga na kutengeneza vifaa mbali mbali, je wameshindwa artificial Ivory kwa ajili ya vinyago vyao au artificial ni kwa ajili ya AFRICA TU?
Hii ni dawa kwa mtu anaevaa viatu kwa mara ya kwanza kwani atakuwa anafurahia kuingia ktk ulimwengu mwingine.
Kwa aliyezoe viatu, hii itakuwa shida nyingine mpya.
Jamaa wawili mafariki sana walikuwa na tabia ya kuchangia wanawake, mmoja akishampata anamtaarifu mwezie yule pale tayari na mwezie anatia jitihada mpaka anampata na haya ndio yakawa maisha yao.
Mwisho wa siku mmoja wapo kanogewa kati ya wale wanawake waliokuwa wakiwachangia kimapenzi. Je huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.