Search results

  1. R

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Haya majina nomaa' Dr Kisenge kcmc hospital 2003-2008 , mama mamboro sombetini Arusha, kali zaidi ni ule uwanja mkubwa wa mpira wa migu kule Japani unaoitwa KUMAMOTO.
  2. R

    Safari ya 315: Rais Kikwete kuelekea Namibia?

    Pole sana man' mata ya kula ya taa ya gari au mazito ya umeme? Naona ana asili tu ya umatonya kwani aliwahi kusema safari zake zina tuwezesha kuishi kwani anapata misaada lukuki, kwa mantiki hiyo na rasilimali tulizo nazo inaonesha tunawezakujimudu zikisimamiwa ipasavyo ila shortcut na uzuzu...
  3. R

    Kilema vs kipofu

    Don wor' aka usijali ndio unaanza kukua kijana siku njingine kabla hujaandika huku iandike kwenye karatasi kisha ujidai kama umendikiwa uisome kwa makini uielewe uikosoe kisha ukishaona mapungufu yake ndio uipost jf.
  4. R

    Kutokana na hali yangu ya kifedha, naomba ntoe sanduku la posta!

    Hellow misorgenes ! I hpe you need at least some suport, naweza kujua umri wako na jinsia yako?
Back
Top Bottom