Search results

  1. P

    CHADEMA isisahau kuwa inajenga mfumo!

    Wewe mpinga unakurupuka, huko ulipo baba mama na watoto wote wapo nec mbona husemi, juz mlitaka kurithisha kiti kwa ndugu yake umekua huoni, vaa miwani ya kuona mbali
  2. P

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Hapa mnatueleza fikira nadharia ambazo kwa nchi yetu ni vigumu kutekelezeka, wewe mwenyewe pamoja na zzk, mnahubir mambo yasiyo wezekana, hakula la zaid ya kusaka tonge kama wwngine wote mnavyo waita
  3. P

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Sasa nimeamini huyu bwana anapenda sana madaraka mbaya zaidi kwa mgongo wa nyuma.Ametegeshewa mtego wa kijinga sana na bila kujijua akauingia kichwa kichwa.Eti alitamani sana kujiunga na NCRR Màgeuzi ila matatizo ya hapa na pale ktk chama yakamzuia kujiunga.Yawezekana kuwa zile tetesi kwamba...
  4. P

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Haha, kuhamia NCCR ni ngumu kwani mapinduzi yaliyo andaliwa na Kafulila yalishindikana, pia zzk hawezi kuwa chini ya mtu mwingine namfananisha sana na mrema wa TLP mtaiona ACT siku za usoni,
  5. P

    Je! Unachukizwa na kutoweka kwa Maadili ya kiungozi nchini Tanzania? Tuwasiliane!

    Nashangaa sana kama sio kusangaa, uadilifu unaanzia juu, unashuka au kuanzia chini kwenda juu na kilamtu awetayari kusimamia hili bila kupepesa macho wala kumung'unya midomo au kua na kigugumizi, kama kiongoz mkuu sa nchi anawezakusema wanao uza pembe, dawa, na mengieyo ambayo kikatiba na sheria...
  6. P

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Huyu Makonda sidhani kama anatumia akili kama muandika thread alivo mdescibe. Kwani 40.elfu kutoa kwenye 300.elfu inabaki kias gani, inaelekea hesabu kwake ni 0. matumiz ya dom tunayajua, kama kweli mtu yupo committed na kikao matembezi ya gari hapo Dodoma hayamalizi 20.elfu za mafuta, dereva...
  7. P

    Wakali wa Physics manasemaje juu ya hili?

    Habari ya Mwaka Mpya wana JF, Ukweli ni kwamba ile tochi inafanya kazi kwa kupima msukumo wa mawimbi waves compression. gari linapokua kwenye speed lina sukuma upepo au mawimbi ya upepo kadri gari linapokua na speed kubwa kompression huongezeka so inasoma msukumo ule na kudetermine speed ya...
  8. P

    Yawezekana Rais amevunja sheria ya Mchakato wa Katiba kwa kuwaapisha kina Baregu?

    Ni kweli, kabisa JK kapotea au kapotezwa maana hata haihitaji kwenda shule kutafsiri hii sheria it is very clear as day light. Pia huyu mama ameshindwa hata kudanganya maana huwezi kumaliza diploma 2006 then LLb 2008 kwani LLb wanasoma miaka mingapi? from 2006 to 2008 ni 2 yrs ni akili ya aina...
  9. P

    Hili laweza kuwa vazi la taifa

    Huyu mdada kamechisha nae halafu fuul kucheka every where aibu!
  10. P

    Jamani huyu aliyeko alieko na prezidaa ni nani????

    Wana JF ni fahamisheni huyu alie mechisha na prezda ni nani na hizo papmba kapewa na prezda au yeye ndo kampa prezda wetu hii ni kali??? wajuzi is this proper?? presidential awards on the extractive Industry corporate social responsibility and empowermeny
  11. P

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    Dah! Umekosea kidogo kwenye utafiti wako labda sample ni chache, najitolea kukuonesha kuwa sio kiiivo..... tunajituma sana eheee... jaribi X-G
  12. P

    Kumbe wajumbe wa nyumba kumi hawamo katika serikali ya mitaa

    Naunga mkono , hilo ni jambo la msingi sana na si kwa DSM tu pekeyake bali iwe kwa TZ nzima na level zote hadi vijijini, la sivyo basi ipiganiwe iingizwe kwenye katiba mpya ili uongoziuanzie chini na uwakilishi wao uwe wa kupigiwa kura kama viongozi wengine. Hili la cell leaders ni la msingi...
  13. P

    Pendekezo: Katibu wa Bunge ajiuzulu kwa kupotosha taifa

    Wataalam waJF iinabidi suala la kuwajibika kwa watendaj wakuu wanapopotosha umma liwekwe bayana kwenye katiba yetu mpya ili kuondoa watu wa namna hii wanaopenda kufichaficha mambo na kupotosha wananchi. Kwa kauli yake Huyu Katibu wananchi wanakosa Imani na wabunge wao, hivyo anatakiwa aombe...
  14. P

    Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

    Nadhani wewe ulitakiwa kuna na data at least kunesha unafikiri jaapo kidogo. Angalia ,kiwango kilichoongezwa kwenye Posho hizi ni asilimia 285.71 kiwango ambacho ni kufuru hakilingani uhalisia wa maisha ya mtanzania kwa siku japo wange angalia maisha ya watanzania na sio kujifikiria wao wenyewe...
  15. P

    sababu 3 za kuichukia chadema

    By FaizaFoxy Ulionena ni ukweli mtupu na utwaona humu sasa hivi wataanza kupinga bila ufahamu. Hilo l udini linajulikana sana kwani tumesahau Sumbawanga? Umewashika pazuri, la Zitto na Mwenyekiti halina ujanja mpaka humu wanalijuwa sana, tena turufu kubwa ya Magwanda ni Zitto na wanafanya...
  16. P

    maendeleo yatakuja siku tutakapoachana na hii dhana!

    Tutafanikiwa kupata maendeleo endapo tutapata kiongozi mkali kwa stail ya dikteta ambae ataogopwa na kila mtu, atakaye zuia ufisadi mikataba isiyo na tija kwa nchi yetu, na kusimamia rasilimali na maliasili zetu. kuachana na mawazo kuwa nchi hii haiwezi kuendelea bila ccm, pia ccm kuacha tabia...
  17. P

    Obama kaharibu picha

    Dah kamharibia sana huyu ni prezdaa wa Mongolia, naona mshkaji jk baada ya kuona jamaa kanyanyua mkono akaksogea upande mwingine , siunajua jamaa anavyopenda ma snaps
  18. P

    London Riots

    Ndugu wana JF napenda kuwajuza kuwa kwa BIBI London hakukaliki ni mioto magari na maduka kuchomwa moto. Hii ilianza hapo juzi baada ya askari mmoja kuchukua sheria mkononi na kumuua kijana mmoja, wananchi wamekasirika wa askari kuua raia bila kuacha sheria ichukue mkondo wake. Jambo kama hili...
Back
Top Bottom