Search results

  1. Linyakalumbi

    Intellect over emotions or emotions over intellect?

    Hapa issue ya mjadala nilivyouelewa sio "shall" na "may" Bali ni ELIGIBLE! na Ndio maana Shall ya fixed five years hakuna aliyebisha as a result hata Spika aliuchuna kwenye ile saga maana five years zilikuwa bado. Sasa amejaa kwenye 18 penati box. Eligibility iko within discretion ya Muongezaji...
  2. Linyakalumbi

    Intellect over emotions or emotions over intellect?

    Ni kweli "shall" ni lazima upo sahihi kabisa. ILA WALAUMU WALIOWEKA/ONGEZEA NENO "ELIGIBILITY" HAO NDIO WALIHARIBU KILA KITU. So Ngabu yupo sahihi na Rais hajakosea. Eligibility maana yake if and only if environment favours you. Bahati mbaya katiba haijataja strong binding factors, ni hisia tu...
  3. Linyakalumbi

    Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

    Tanganyika Lesbian Society : TLS. Hamjambo esq's......
  4. Linyakalumbi

    Kinondoni moto: Uchunguzi dhidi ya Mhandisi Mussa Natty wasuasua

    Sasa hivi tunapofukunyua Keibodi yupo zake Tundumaaaaa
  5. Linyakalumbi

    Musukuma: CHADEMA hawana ubavu wa kumhoji na kumfukuza Lowassa. Mwenye mbwa hawezi ng'atwa na mbwa wake mwenyewe

    Mpaka ahamie huko kwanza Ndio atakuwa Mfalme. Vipi Mbowe amehitimu lini
  6. Linyakalumbi

    Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

    Mmoja wapo ni Fredrick Kihwelo. Huyu Wakili Msomi yuko vizuri sana.
  7. Linyakalumbi

    Chama cha Madaktari(MAT) watofautiana na Serikali juu ya kupeleka madaktari nchini Kenya

    Nchi ya Wazandiki na wanafiki. Magufuli angekataa ungesikia anaunga mkono Mgomo wa kenya ili rafiki yake Raila ashinde. Amekubali Chadema hawaamini kama Amekubali.
  8. Linyakalumbi

    Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Hapa nami nakuunga mkono. TLS=CWT=TALGWU=TUCTA nakadharika. Kwani TLS ni wasomi kuliko CRB au ERB, Kiki za kijinga tumewapa TLS wanaobebwa na Collusion style. Majaji wenyewe waliopo kwa sasa ndio wale Lissu aliwatukana, kwanini wasibabaike wakimuona
  9. Linyakalumbi

    Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Nchi hii we acha tu. Hawa wanasheria bahati mbaya wanatumia fursa ileile ya "Utapeli"wa kimahakama - Collusion ni kudhani wanajua kila kitu.
  10. Linyakalumbi

    1995 - 2017 RIP Wanamtandao wa CCM

    Vipi wale Mashekhe sasa Hivi ni Halali [emoji14] [emoji14] [emoji14]
  11. Linyakalumbi

    DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma mbaroni wakidaiwa kupanga kuhujumu vikao vya CCM

    Ni sahihi Hata Sofia aliitetea kweli, Sasa amesomeshwa kwa sababu alikuwa hataki kuisoma. Ngoja Msomali wako huyu naye tumsomeshe soon maana kwanza katujazia wahamiaji haramu
  12. Linyakalumbi

    Swali: kwanini CCM wanafanya mabadiliko kumlinda rais apite bila kupingwa ndani ya Chama?

    Nyie CHADEMA Mpaka leo hamjamjibu Tuntemeke na Samsoni Mwigamba juu ya mabadiliko ya kimya kimya ya Katiba yenu mnaanza kuichambua ya CCM. Mkiambiwa Virobeerii vinanyemvua na Uraibu mnawaka. Shughulikeni yenu kwanza tupate tume huru
  13. Linyakalumbi

    Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Ukipita karibu na mzinga wa Nyuki wakikushughulikia usilaumu njia jilaumu wewe kutotumia akili kutafuta njia mbadala
  14. Linyakalumbi

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Na Dr. Chegeni Campain Manager wa Laigwanan[emoji14]
  15. Linyakalumbi

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Hii makitu Walizoea kupiga.Sasa hiv Hata Mkitoka Haiwasaidiii.Chama Kishakufa Kitambo sana,,Mazishi Tu Hai soon
  16. Linyakalumbi

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    :A S 103:Na tete hana tofauti na kina Saidi Mkumba ,, au Makongoro Mahanga ---:mod:Maana wamekatwa--- SAWA SAWA NA YEYE,,Tofauri ni kwamba Binti yake amekatwa Viti maalum. TEHE TEHE.kukatwa ni sheeeedaaaaa:rain:
  17. Linyakalumbi

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Na tete hana tofauti na kina Saidi Mkumba ,, au Makongoro Mahanga ---Maana wamekatwa--- SAWA SAWA NA YEYE,,Tofauri ni kwamba Binti yake amekatwa Viti maalum. TEHE TEHE.kukatwa ni sheeeedAAAAA
  18. Linyakalumbi

    Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Waacheni waandamane eeeehh wajinga waooooo ......SSM...Mbele kwa mbeleeeeeeeeee:A S confused:
Back
Top Bottom