Search results

  1. ngozimbili

    Kulikuwa na ulazima wa Mapinduzi ya Zanzibar?

    Unaijua serikali ya kwanza mkuu au umeshiba poropoganda? Waziri Mkuu aliyepinduliwa Mohamed Shamte.
  2. ngozimbili

    Ukweli wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar yakimuhusisha mtu asiye maarufu sana, John Okello

    Kila kitu Kiko wazi ni wewe tu kuchukua vitabu na kusoma, Amrit Wilson kaandika kushiriki Kwa CIA ya MAREKANI
  3. ngozimbili

    Ukweli wa historia ya mapinduzi ya Zanzibar yakimuhusisha mtu asiye maarufu sana, John Okello

    Serikali iliyopinduliwa inadai hayakuwa mapinduzi ya wazanzibar Bali mavamizi kutoka nje na @yerico Nyerere makala yake inaonesha hivyo,ni wageni watupu ALIOWATAJA walioongoza mapinduzi,na ili.mapinduzo yawe na uhalali yanapaswa kufanywa na wananchi wenyewe.
  4. ngozimbili

    Makosa yanayojirudia ya Baba wa Taifa na historia ya TANU

    Walitaka kumpa Makwaia Kidaha pia.walitaka mtu wa bara pia.
  5. ngozimbili

    Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

    Mafuta yamepanda sana Kwa hiyo Putin kashusha kidogo tu lakini juu ya bei kabla ya vikwazo,hesabu zinaonesha mauzo yamepungua kidogobila faida imepanda.
  6. ngozimbili

    Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Kwa hiyo tuwe na uchaguzi,manake Rais wa Sasa ni Mzanzibar,au sijakuelewa!
  7. ngozimbili

    Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    tatizo siyo wamasai bali kuna vigogo wameweka mifugo kwenye Hitadhi wakiwatumia wamasai.
  8. ngozimbili

    Mgogoro Hifadhi ya Ngorongoro kuna siri nzito. Nani wapo nyuma ya Wamasai?

    wamasai wanatumika kuweka mifugo ya vigogo tu vigogo wan ngo'mbe kibao zinakul nafasi za hifadhi,ngo'mbe laki 8 huku kati ya hiyo no 3% tu ndio za wamasai.
  9. ngozimbili

    Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    Kama Sheria inatambua ushindani kwenye vyama ili kubeba bendera ya chama kwenye kugombea uspika na wagombea wasio na vyama je?wataanza kutambuliwa wapi?
  10. ngozimbili

    Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    Kwani Tulia kagombea uspika?kwani fomu za uspika zimeshatolewa na ofisi ya bunge tuanzie hapo kwanza?
  11. ngozimbili

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Unafikiri gesi ni mambo mepesi😄😂😂fikiria mara mbili.
  12. ngozimbili

    TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Kabudi na mkataba wa kununua korosho anaweza.
  13. ngozimbili

    Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

    Alitumwa na na katibu mkuu wenu
  14. ngozimbili

    Kwa nini CIA walikubali Kwame Nkrumah apinduliwe na kukataa Uhusika katika Harakati za Kumpindua J.K Nyerere?

    CIA imeangusha viongozi wengi tu waadilifu na wenye kupendwa na watu wao,mfano ni Nkurumah mwenyewe, Lumumba,Mossadeq Iran , KIONGOZI mashuhuri wa Bukina Faso na Wengine wengi tu ,kuna kitu waloficha hao CIA lakini Nkurumah alikisema nacho Nyerere alikuwa asset wa CIA,na amewafanyia kazi ya...
  15. ngozimbili

    Wazee Bukoba: Kumaliza udhia, makelele ya kutaka Mkoa, Geita sasa iitwe mkoa wa Chato

    Chato International airport imesaidia nini au ndo upotevu wa pesa tu
  16. ngozimbili

    Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

    Umemshambulia binafsi,lakini nikwambie Jenerali ni mmoja wa viongozi wachache wa Ccm waliostaafu siasa mapema na wakafanyiwa sherehe ya kuagwa.
  17. ngozimbili

    Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

    Hawa jamaa ni muhimu sana sababu hawana shida na madaraka wao wanachochea watu kufikiri na hili ni jambo la afya Kwa jamii.
Back
Top Bottom