Search results

  1. C

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    kama ni hivyo basi hali ni zaidi ya mbaya...lakini serikali isitake tufike kule kwa ARAB UPRISING...wafanye mabadiliko ya muhimu mapema
  2. C

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    nakumbuka slaa alikwisha wahi mwambia jk "tukitaka nchi isitawalike tunaweza" sasa hapo hawajaamua isitawalike, wakiamua itakuwaje??
  3. C

    CHADEMA ngoma mbichi Arusha

    Yaani kwa kweli, ninaombea sana ishu ya madiwani Arusha isije kuvuruga CDM, wananchi waelewe tu kwamba chama hakiwalei watu wanaokiuka utaratibu na kufanya mambo kinyume na utaratibu tuliojiwekea!
  4. C

    Ulaghai wa wanasiasa kwa jamii: Mbunge wa ludewa akiwapigia magoti wanafunzi kumuombea msamaha diwan

    Cheki katika Nova Tzdream - Katika hali isyo ya kawaida mbunge mmoja wa CCM anadaiwa kupiga magoti mbele ya watoto ili kumwombea msamaha diwani mmoja ambaye wananchi wanamtuhumu kujihusisha na ufisadi tovuti yako hii inakuletea mkasa kamili. Duru za habari za kitafiti zinamtaja mbunge wa Ludewa...
Back
Top Bottom