Search results

  1. M

    Utoto bwana!!

    ukiwa wa mwisho wakati wa kula chakula lazima utoe vyombo
  2. M

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Bangi au mafuta ya kuku ni dawa nzuri ya sikio linalouma
  3. M

    Dawa ipi muhmu kutumia??

    kuna tiba ya asili kwa muda mfupi kukata tumbo likikuzidia, chukua maji ya moto kiasi then changanya na limao baada ya hapo ukiona tumbo lako linazidi kuuma nenda kamwone daktari.
  4. M

    Utunzaji wa nywele za asili

    Asante kwa ushauri wenu nitafanyia kazi. Na kuwapa matokeo ni njia ipi ilonisaidia.
  5. M

    Utunzaji wa nywele za asili

    Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
  6. M

    NItamjuaje baba wa mtoto!!!

    Pole sana dada hapo ni dna tu. Siku nyingine ujifunze.
  7. M

    Imetokea mara tatu

    Nenda hospitali!.
  8. M

    Jamaa ahamaki ndani ya daladala!

    Du we mkali nimecheka had bas
  9. M

    Sijisikii utamu

    Hata sisi wengine tusiojua maujuzi tunayapata hapa, thnx.
  10. M

    nahitaji kua na galfriend ila nashindwa

    Pole sana kaka, ni hata kama ningekuwa mimi nisingejisikia vizur kwa kutopata girlfriend, wala usikate tamaa kuwa na subira utampata.
  11. M

    "kujifanya uko juu kunacost sana mazee dah...!"

    Du hiyo kali, du jamaa atakuwa alijisikia aibu.
  12. M

    Hawa ni wagonjwa wa akili...!!

    Du hiyo babu kubwa nimeikubali!!
  13. M

    Wanaume wa wanawake wafanyakazi

    Hiyo ni kama mazoea na mazoea hujenga tabia, hata kama hiyo pesa ya lunch anayo mfukon ataomba tu
Back
Top Bottom