Search results

  1. Davis chelsea

    Nataka kufungua duka la jumla

    Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa anayejua anawwza kunipa breakdown ya hii kitu?
  2. Davis chelsea

    Naomba msaada tatizo la black screen kwenye laptop yangu

    nikiconnect kwenye monitor ya desktop inapiga kazi fresh
  3. Davis chelsea

    Naomba msaada tatizo la black screen kwenye laptop yangu

    Habari za hapa wakuu, Nilishut down laptop yangu aina ya lenovo g500 nilipokuja kujaribu kuiwasha inawaka poa kila kitu kinafanya kazi hata ukiweka cd inazunguka vizuri lakin screen haionyeshi chochote (total black), nimejaribu soln hizi bila mafanikio, nimebadili memory na pia nimetoa bettry...
  4. Davis chelsea

    Kuweka window

    nashukuru mkuu ..
  5. Davis chelsea

    Kuweka window

    habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam wameshindwa..mwenye idea yeyote naomba mawazo yake
  6. Davis chelsea

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    asante mkuu..ivi bajaji kwa siku unatakiwa bosi apewe elfu 15?d
  7. Davis chelsea

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    mim niepanga korogwe kimara,sina boom,mtaji nimepewa na wazaz hawataki niwategemee hata kwa hela ya boxer,wanataka nichape kazi....
  8. Davis chelsea

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    nawasalimu wakuu....ninamtaji wangu wa milioni tano nataka nifanye biashara,,mimi ni mwanafunzi najiunga na ifm naishi kimara nataka walau nifanye biashara ya kuniwezesha hela ndogo ndogo za matumizi yangu ya kila siku,,naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo itanifaa na rahisi kumanage...
  9. Davis chelsea

    Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

    ifanyike kidigital...walipe kodi na wapewe zile mashine za TRA kwa ajili ya risti
  10. Davis chelsea

    Mgomo wanukia UDSM!

    yule ilieandamana peke yake hadi ikulu
  11. Davis chelsea

    Mgomo wanukia UDSM!

    Rev squre kama kawa...ivi kina emeka,al shabab na francis ndungur wamerudishwa? Revolution
  12. Davis chelsea

    Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

    dili la sembe nalitafuta sema sijapata mwanga tupakuanzia hahaha
  13. Davis chelsea

    msaada IFM first year registration tafadhali

    vipi kuhusu hostel za pale ndani? Maombi lini
  14. Davis chelsea

    msaada IFM first year registration tafadhali

    Mimi nimemaliza reg jana...ila watu wengi naona wakijisajili ni wa master,bachelor bdo ni 0.0
  15. Davis chelsea

    Kwa wale wa ifm

    Wale mliochaguliwa ifm naombeni updates za huko na michakato ya kupata hostels za pale mjini.. ADD ME WATS APP 0769535268
  16. Davis chelsea

    Usahili IFM..

    naomba contact mkuu
  17. Davis chelsea

    Naombeni msaada kuhusu hizi course program na ajira zake

    nashukuru mkuu...kama ukibahatika kupata ajira vipi mishahara yake yakuanzia?
  18. Davis chelsea

    Naombeni msaada kuhusu hizi course program na ajira zake

    nashukuru sana mkuu kwa maneno yako ya busara,mimi nimepangwa computer science ifm lakini naipenda sana banking and finance ndo maana nikauliza ili kama itawezekana nikabadilishe...napenda kuja kufany kazi ofisini sana sana
Back
Top Bottom