Search results

  1. maphie

    Tanzania: The Legacy of President Jakaya Kikwete (2005-2015)

    "BMW" yawezekana kuwa ndolegacy ya ------ mwenzangu'; angalia haya, mama yuko na WAMA, mtoto, nasikia sina uhakika ni mbia wa Lake Oil and campanies, baba ndo mfanya biashara pale ambapo mzee nyerere alipaita patakatifu! Legacy hapa ni maslahi kwanza kwa "Baba, Mama na Watoto" (BMW)
  2. maphie

    Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

    Hbd kwa mwaka mmoja Jf! Tumefurahi kuwa na wewe, mwaka mwingine ujao ongeza maarifa zaidi
  3. maphie

    Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    PhD zingine hazina tofauti na uganga wa kienyeji! Poor Bana
  4. maphie

    Waarabu wa Didia wamshangaza Kamanda Mawazo

    Kavurugwa wapi HEAVEN ON EARTH?:couch2:
  5. maphie

    Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

    Hakika kwa mara ya kwanza nmeshindwa kuzuia hisia zangu wakati nikfuatilia wasifu wa gwiji wa mageuzi Tz! Lala kwa amani dr Mvungi
  6. maphie

    Japo Dunia ya Wanaume,Mwanamke Kushindwa Maisha Ni Kujitakia Na Uzembe Binafsi!!!!!!!!!!!!!!

    'Baada ya uumbaji wote, mungu alifikiri sana na akasema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" Hapa ndipo Adamu alipoumbwa! Hata hivyo Adamu alionekana kuwa na huzuni na mungu akawapitisha wanyama wote na vyote katika dunia na Adam akavipa majina lakini bado hakuonekana kuchangamka n ndipo mungu akampa...
  7. maphie

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Former German Boma in Arusha.
  8. maphie

    Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

    Wakati wa kulala; UK, g9t my queen US, sleep tight baby Bongo, Mama nanii.. umefunga mlango?
  9. maphie

    "Akumbukwe hayati Baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere", Weka comment hapa!

    Mtu mkweli na aliyeishi kile alichokiamini! Hajapata mrithi mpaka leo
  10. maphie

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Ni aibu kubwa chama kikongwe kama CCM kuwa na katibu mwenezi anayefikiri kwa namna hii; Kweli katibu mwenezi wa CCM analeta hadithi za kombolela? CCM kwishinee!
  11. maphie

    Watanzania Wenzangu Tuzikumbuke Shule Zetu za Msingi Tulizosoma

    Mkuu wazo zuri wengine tulisoma shule za porini sana miaka ya 1980's. Mririny primary school bila shaka bado unaishi.
  12. maphie

    President Robert Mugabe over african natural resources

    Mkuu fikra za kujua angalau kuwa rasili mali za africa ni kwa ajili ya waafrica ni jambo zuri; siana uhakika sana na mgawanyo wa hizo mali kwa Wazimbabwe but some time western medias wana tia chumvi sana katika haya mabaya ya Mugabe. Kwetu wachina, Ulaya na Marekani ndo wanufaika, sijui hii ndo...
  13. maphie

    President Robert Mugabe over african natural resources

    "Africa has no ambition to control the resources of Britain or any Western nation. We are entirely disinterested in their affairs. History shows that we have never expressed any hostilities against them. Instead, we have been victims of unprovoked aggressions and interference in our...
  14. maphie

    enzi zako

    D na F kwa sana mkuu!
  15. maphie

    Maji ya Ndanda yapigwa marufuku mkoani Mtwara

    Mkuu ni kweli kabisa yote usemayo, mtu yeyote hasa wale waliosoma ndanda secondari miaka hiyo watakueleza utamu wa maji ya ndanda. Nawashangaa sana watu wa mtwara kama wanakuwa mstari wa mbele kuipinga product yao
Back
Top Bottom