Search results

  1. G

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Uanachama ndani ya chama chochote ni jambo la hiari ila wanapotokea Professional Politicians linakuwa suala la nani anafaa kuwa mwanachama wetu na nani hafai na kwa nini. Tunachagua wenyewe mwanachama wa kutufaa ili tuendelee kudhihirisha kwamba we are professional politicians.
  2. G

    Napongeza Demokrasia ya CUF, hatimaye Lipumba atangaza kuachia Uenyekiti

    Mimi nakubaliana na mpango wako wa kuchunguza demokrasia ndani ya vyama vya upinzani na upangaji wao wa safu za uongozi. Lakini pia nikupe changamoto ya kuchunguza hiyo demokrasia ndani ya chama chetu tawala kama kweli huwa ipo na kama tunawachagua viongozi wa kitaifa (hapa namaanisha...
  3. G

    Uchaguzi Chadema

    CCM wenyewe kama wanadhani hiyo demokrasia ya kuchagua wenyeviti wanayo, wamchague mwenyekiti wa ccm nje ya Rais tuone.
  4. G

    Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Kama nimeelewa vema maelezo ya uzi huu huyu ndugu Mwigullu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya kuandaa working paper na ametaja na wajumbe wa kamati hiyo sasa hapa sioni cha kutamba nacho ni nini hapa kimataifa. Kuongoza kamati?
  5. G

    Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

    Kwa mtu mwenye akili katika siasa atagundua kuwa huyu si mwana siasa bali ni Msaka Tonge. Binafsi siamini na kamwe sitaamini maneno ya mtu aliyetoka upinzani na kuhamia chama tawala hata kama katoka chama kidogo sana katika harakati za upinzani. By the way, huyu dada malalamiko yake si juu ya...
  6. G

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa uchaguzi makini mlioufanya. Hata mlipotupiwa propaganda Igunga kupitia kwa mkuu wa Wilaya ati kavuliwa Hijabu mlidaka propaganda hizo na kuzifanyia kazi et CHADEMA wasipigiwe kura kwa sababu wameudhalilisha Uislamu. Haya ndiyo matokeo ya nyuma ya pazia...
  7. G

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hli jambo lina mahali lilipoanzia si bure. Kwa muda wa zaidi ya wiki sasa chokochoko za namna hii zimekuwa zikiendelea halafu hakuna kiongozi aliyejitokeza kukemea. Damu za watu zimwagike kwanza ndipo viongozi wetu waanze kushindania ufundi wa kutoa matamko yasiyo na tija kwetu tena. Hiki ndo...
  8. G

    Mbatia aisambaratisha mitaala feki, Kawambwa/serikali aibu tupu

    Nina mashaka na uelewa wa huyu aliyemsikiliza prof.
  9. G

    Mbatia aisambaratisha mitaala feki, Kawambwa/serikali aibu tupu

    Nani atakuwa mjinga kati ya Mh. Mbatia aliyesema serikali haina mitaala ya Elimu na Mh. Waziri aliyesema ipo na kuahidi kuileta na Prof. Galabawa anayesema huo waraka unaoitwa mtaala haupo? Zingatia kuwa ni kweli kabisa kila kinachofanyika shuleni ni mtaala na ndiyo maana tuna aina za mitaala...
  10. G

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Mbona mapema hivo makamanda wangu hiyo mahakama imeanz saa ngapi tena? Jamani tusirushane roho tu!!!!!
  11. G

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    Harakati za ukombozi wa kweli ziendelee na hiyo ndiyo namna pekee ya kumuenzi comrade Bob Makani. R. I. P Makani.
  12. G

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Mkuu tupe taarifa kwa kila hatua maana ni muhimu sana wengine tuko mbali. Siku zote tuko na Mungu hata ktk hili bado atasimama.
  13. G

    Mkutano Wa chadema wazuiliwa Kibondo mkoani Kigoma

    Hapa wanajamvi ukweli ni kwamba hakuna ziara ya Naibu waziri hapa Kibondo. Mimi niko Kibondo na naibu waziri aliyeko mkoani hapa ni Philip Mulugo wa Elimu na kazi iliyomleta kamaliza mkoani kwa aliyefuatilia habari za saa mchana wa leo ITV atakuwa anajua kilichowapata wakuu wa shule za sekondari...
  14. G

    Uzalendo Umemshinda Dr. Hamisi Kigwangallah!

    Naomba mchangiaji huyu anieleze wakati chadema wakitumia milioni 60 ccm walitumia ngapi isije ikawa ule usemi kuwa "Nyani haoni kundule" maana inaelekea kama wewe siyo msajili wa vyama vya siasa basi ni karani wake ndo maana una data. Naomba msaada ktk hili mheshimiwa sana.
  15. G

    TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani

    Nani kashinda nani kashindwa return yake ni kidogo kwa Watanzania hapa la msingi ni kuwa Watanzania tutakuwa tumeibiwa kutokana na mzimu wa ubinafsi kwa Tanesco kulipa mabilioni hayo. AG atakuwa na kesi ya kujibu kwa Watanzania kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake vilivyo kwa kushindwa kutoa...
  16. G

    TANESCO wabwagwa na Dowans mahakamani

    Hapa suala la Dowans au Tanesco kushinda silioni kilichotangazwa TBC1 na Channel Ten ni Mahakama kuu kutupilia mbali pingamizi la Tanesco kuhusu nia yake ya kukata rufaa kuhusu tozo ya ICC na imesema hukumu ya ICC ni halali kisheria. Sijui kama mfuatiliaji wa ITV alikuwa makini.
  17. G

    Miaka 35 ya ccm: Wananchi watokwa machozi ya furaha (picha)

    Uwanja wa Taifa DSM ambao ndio mkubwa hapa TZ unachukua watu 60000 hii ni dhahiri kuwa mtoa mada hakuwa makini kuhesabu. Tuache hayo! Kulia ni kulia tu mbaya zaidi ni vigumu kutofautisha machozi ya FURAHA na yale ya HUZUNI kwani yote hutoka sehemu moja. Nilijualo na niliaminilo mimi ni kuwa nchi...
  18. G

    Hivi polisi wa Tz ni akili hawana, au wanafanya makusudi?

    Plato alimaliza alipobainisha makundi ya watu: #1: Gold= Akili nyingu(ufahamu) nguvu kidogo #2: Iron= Nguvu nyingi Akili kidogo #3: Silver= Akili kidogo Nguvu kidogo. Pima na uamue. Wahusika ktk @kundi wanajamvi mjaze na huo ndo ushirikishaji Vs ushirikishwaji.
Back
Top Bottom