Search results

  1. S

    Lugalo kusafisha figo kwa bei nafuu

    Kimsingi hawasafishi figo ila wanasafisha damu (dalaysis), figo zinakua zimefeli kwa hiyo kuna kua na mrundikano wa sumu nyingi kwenye damu,
  2. S

    Bidhaa za Oriflame

    Wapo jengo la quality plaza,nyerere rd.
  3. S

    Natafuta tractor la kununua

    New holland wanauza mil.33, valtra mil.25,man track mil.14 na hiyo ya mwisho mil.26.ukiziona ni kama mpya.
  4. S

    Natafuta tractor la kununua

    Kuna tractor nne zinauzwa; 1.New holland 80, vatra kubwa,mantrack, na nyingine moja nimesahau jina lake ila nayo ni kubwa.Hizo tractor zilikua zinafanya kazi ya barabara.kama uko interested nicheki kwa 0762144142
  5. S

    Nataka gari aina ya Passo

    nina mil.4
  6. S

    Gari inahitajika haraka sana

    Nina Mitsubishi pajero min cc 650 bei mil 4
  7. S

    Pata gari mpya na used kwa bei poa

    Kuna jamaa yangu ana Ti carina anauza mil.6.5
  8. S

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    nina pajero min. bei 4.5 m whatsap 0762144142
  9. S

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    nina pajero min. bei 4.5 m whatsap 0762144142
  10. S

    For Sale: Nauza Web Box ya Vodacom bei poa

    web box kwa 100000; inatumika ku surf kwa tv yako,ina games za kutosha,fm radio na application nyingi za video na docs. no 0762144142
  11. S

    Gari inauzwa 4.5m

    Gari aina mitsubishi min milango mitatu cc 650, automatic, gari ipo mbeya.picha zinagoma ku upload kutokana na poor signal coverage
  12. S

    Gari inauzwa bei poa.

    Gari inauzwa 4.5m.Aina ya mitsubishi min cc 650.Automatic transmission & Very EConomy kwenye fuel consumption.Gari ipo mbeya
  13. S

    Naomba msaada wa kupata key za Adobe master collection

    Jtatu nitakutumia kama wadau hawajotokeza!
  14. S

    Gari hii yauzwa sh 4.3m

    3 Mil.nipo mbeya
  15. S

    Aikimbia CHADEMA baada ya kutapeliwa: Kinana ahutubia maelfu katika kata ya Nyololo Mufindi

    Fisiccm wamekimbia uwanja wao wao samora na kwenda viwanja vya mwembetogwa wakidhani wananchi watawafuata huko!
  16. S

    Window xp yafika mwisho wa matumizi yake baada ya miaka 12!

    hivi wataendelea kutoa updates za microsoft security essentials kwa win xp?
  17. S

    Tecno!! Itel!! Huawei!!

    nahitaji tchno s5 bei gani?
  18. S

    kwa wajuzi wa photocopy machine! Msaada

    canon 2420 inachelewa sana kuwaka kwa mara ya kwanza then after reduces warm up time! inaweza kua nini wajuzi. natanguliza shukrani
  19. S

    msaada jamani!!

    kwa wale wenye ujuzi na photocopy machine! nina photocopy ambayo ilikua inafanya kazi vizuri aina canon 2420 lakini ghafla imekua inachelewa sana kuwaka pale ninapo iwasha kwa mara ya kwanza.Naomba msaada kwa anaejua inaweza kua nn kimetokea?
Back
Top Bottom