Search results

  1. Naipendatz

    Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Huna hadhi y kufanya mdahalo na Makonda, upo poor sana!! Makonda hadhi yake ni ya kuongea na akina Kinana, Nape, Piga box tu chief, usitafute umaarufu, huwezi hata kuosha viatu vya Makonda
  2. Naipendatz

    Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    CDM vibaraka wa wazungu, Pole sana Kagame na wenzio ambao mnaipigania Afrika, kumbe wapinzani wenu wanaenda kuitoa Afrika yotee bila huruma
  3. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    Jamaa unapenda sana hilo neno malaya, it seems unauza pssy
  4. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    Huo upande ambao upo hakuna hata anastahili kufunga viatu vya JK or JPM, these guys are the LEGENDS!! Ni kichaa pekee anaweza fananisha CVs za akina JK kwenye nchi hii na waganga njaa akina Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Lissu, Sugu na WAHUNI wa aina hiyo. Bora CCM waongoze milele na siyo kuwapa...
  5. Naipendatz

    Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Kwa matusi mliyomshushia kwenye ishu ya bandari ana haki now ya kumteua yeyote anayefeel ni sawa kwake, mlimkosea heshima sanaaaa, Soon Sabaya naye anarudi maana siasa za ustaarabu alizotaka Hangaya wahuni wa upande ule hawaziwezi, THEY THRIVE TO CHAOS
  6. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    WEWE ndiyo jinga la mwisho kabisa, lilamba asali likubwa
  7. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    TZ kungekuwa na Ugumu kama unavyopotray hapa hao akina Mbowe, Lissu, Lema, na wengineo wangekimbilia kurudi hapa kama mifugo baada tu ja Jiwe kufariki? Si wangebaki tu huko Dubai, Ubelgiji, Canada na kwingineko mnakowaaminisha wajinga kwamba ni kuzuri sana? Walirudi na kusifia sana hapa home...
  8. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    So wewe unataka Mbowe, Lema, Lissu, Heche na Sugu waongoze hii nchi? hata mimi ningekuwa usalama wa taifa nisingekubali kamwe hao wahuni wapewe nchi
  9. Naipendatz

    Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    Wewe na Mwenyekiti wako walamba asali ndiyo vichaa, jamaa mkiambiwa ukweli mnapaniki vibaya, too weak
  10. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Weka ushahidi hapa wizi wa akina January, Nape nk! Au ndiyo zile kele za Lowasa, Rostam mafisadi and baadaye wakakumbatiwa na huyo mtu aliyewaita mafisadi! Report ya CAG kwa kiasi kikubwa inagusa miaka ya giza 2015-2021
  11. Naipendatz

    Ajira za TAMISEMI

    Miaka 7 bila kuajiri na kutengeneza sekta binafsi mingi sana mkuu!Inabidi wafaje hivyo, kuna watu wengi mtaani
  12. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Na wewe unaamini huo ujinga? Hao watu uliowataja wakiamua kukutupia coordinates matango upambane nazo hawawezi? MAMA YUPO SEHEMU SALAMA ANAENDELEA NA MFUNGO, NI VILE TU WATU WAMEMMISS WANATOA HAYA MANENO YOTE, People wanatamani vile vijembe vyake, siyo mbaya pia watu kummiss Rais wao
  13. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Haya ni mapuuzi yanayoamini kulala na analog mafaili kitandani ndiyo UCHAPAKAZI mkuu, with all technology and kila kitu tulichonacho sasa, AKINA WANAHARAKATI HURU
  14. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Akina Kadogosa na wenzake hakuna aliyeweza kuwahoji miaka mi5 iliyopita, walikuwa miungu watu, sasa tunalala nao mbele
  15. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Magufuli alileta hayo yote, ilikuwa kuuliza chochote serikali yake inafanya ni dhambi
  16. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Wakenya hawana mshahara mwezi wa wa 3 sasa, wavumilivu sana!! Nyinyi mkikatiwa umeme siku 1 tu makelele kwa waziri kipara
  17. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Samia hana huo upuuzi! Ni mweupeee hana hata tone la mauchafu yenu! Na kwenye utawala wake hatazalisha wakuu wa mikoa/wilaya matajiri kama akina Makonda, Sabaya, Mnyeti!! Wezi now wanashughulikiwa kwa jicho la Umma, no kufichaficha or kumtimua na kumdhihaki CAG
  18. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Huna akili!! Siwezi soma pumba zako,maneno ya kwanza tu yanaonesha wewe ni zero
  19. Naipendatz

    Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Ukiona mtu anaamini taarifa za Tanzania leaks jua hana akili huyo
Back
Top Bottom