Search results

  1. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mabaya ya sabaya yamemfikisha pabaya
  2. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    msinyimane vijana wa leo wanalitafsiri vibaya Mungu hakumaanisha tunda
  3. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mtumishi tuna hamu ya kujua, wew na baba mtumishi mmekutana jf ama mmejuana zamani
  4. manchoso

    Mbwa kupiga kelele (kulia) wakati wa adhana ya asubuhi hutokana na nini?

    siku nyingine ukisikia hizo sauti utulie uombe hifadhi ya Mungu. usitoke nje yaweza kukupata mabaya
  5. manchoso

    Mbwa kupiga kelele (kulia) wakati wa adhana ya asubuhi hutokana na nini?

    wajuvi watakuja kukujuvya mie sina elimu nalo hilo
  6. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mrejesho ni mbalamwezi sio mbaramwezi,samahan kama ulimi ningesema hauna mfupa
  7. manchoso

    Mbwa kupiga kelele (kulia) wakati wa adhana ya asubuhi hutokana na nini?

    Hii mkuu ndo kwanza naiskia kwako Ninachojua hawa wanyama wanaona mengine ambayo binadamu hatuyaoni, wakati mwingine hubweka wakiona wachawi n.k hili la kulia wakati wa adhana sijawahi lisikia
  8. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yeye pia alinipm akaniambia kafa kaoza kwako,yaani kama yeye angekuwa gari basi wewe ni matairi,hajiwezi bila ya wewe kutembea hawezi, zaidi amenieleza umrembo lakini hujikwezi kama ni mbingu wewe ni mbaramwezi
  9. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    pep anakuzimia sana tafadhali usije kumpiga kibuti
  10. manchoso

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Mkuu Baba Vladmir nina tatizo la kumeza chakula sina raha ya kula kwa sasa chakula kidogo inaweza kunichukua hata lisaa lizima kukimaliza kwani yabid nitafune sana na nile taratibu hata maji ya kunywa nakunywa kwa shida kuna sehemu kwenye koo nikila chochote nahisi kinaenda kukwama
  11. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mtwangio wa wanaume wa dar hauna maajabu
  12. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yake ndogo ya mwenzie kuuuubwa, namaanisha simu
  13. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kibamia sio kilema inategemea na na jinsi Saint Anne atavyokisherehesha
  14. manchoso

    Asikuambie mtu tu tu...

    Mkuu hii experience yako ungetuhadithia japo paragraph 10 ingekuwa stori tamu sana hizi stori za kuchungulia watu wazima huwa hazichoshi kama ni mechi huwa kama ajax na bayern
  15. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Saint Anne atakuwa ni pisi kali ndo mana Pep kapagawa
  16. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yake mtu hayamtapishi
  17. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yote kwa yote hongren mnapendana kama njiwa
  18. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    atatuthibitishia vip?wakati anasikia ya mdomoni ya moyoni hayaoni
  19. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kimasihara masihara akikutunuku sidhan kama utakataa
  20. manchoso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    ndiyo kwa mapenzi ya bwana hakuna lisilowezekana
Back
Top Bottom