Search results

  1. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Ndugu zangu wana JF hii mada ni kali sana na natamani tuelimishane vlizuri kabisa kwa manufaa ya watanzania wote. haya mambo ni ya kweli kabisa. mimi binafsi niliwahi kusoma kitabu kimoja kimeandlikwa "psych power can make you rich". nilikuta mfano mmoja katika hicho kitabu ambao ulinifurahisha...
  2. M

    Nahitaji tairi mpya za gari yangu Escudo

    Ndugu zangu wana JF naomba ushauri, Nahitaji kununua tairi mpya za gari yangu aina ya Escudo; size (215/75R15) kuna ambazo zimeishaa lakini kwa kweli hazikunitendea haki kabisa yaani hizi sio tairi ni uchafu (Ling Long). Sina uwezo wa kununua hizi brand za bei kubwa kwa sasa ila naomba kujua...
  3. M

    Msaada: Nahitaji Matairi mapya ya gari

    unaweza nunua pia apollo (amazer)ya india ni tairi nzuri sana
  4. M

    Nahitaji elimu kuhusu funza kama chakula cha kuku

    Wadau, naomba msaada wa kupata elimu zaidi juu ya utengenezaji wa funza kama chakula cha kuku. na pia naomba kufahamu kama hawa funza kwa hapa Tanzania wanauzwa, basi naomba kufahamu ni wapi nawweza kuwapata.
  5. M

    Mwalimu wa kingereza (spoken english)

    Anatakiwa mwalimu wa kingereza kwenye tawi la chuo chetu kipya hapa arusha. Awe mwenye uwezo wa kufundisha (spoken english) awe mwenye kujituma na mzoefu. Pia awe na uwezo wa kufanya kazi kwenye mazingira ya aina zote. Mshahara mnono utatolewa. Wote mnakaribishwa. Chuo kipo ngulelo (njia ya...
  6. M

    Nini Maana ya 'Mind' kwa Kiswahili (Kwa neno moja)

    kiswahili cha neno mind ni - Akili/ufahamu
  7. M

    Msaada Kiswahili: cha neno Conscious mind na sub conscious mind

    Tafadhali nisaidieni naandika andiko la kiswahili lenye maneno ya kisaikolojia natafuta maneno ya kiswahili yanayoweza kuwasilisha maneno haya "Conscious mind" na "Subconscious mind" tafadhali wataalamu wa saikolojia Tanzania na popote nisaidieni!
  8. M

    Nafasi za kazi: Sales and Promotion

    Kampuni ya amazing Star inawatangazia nafasi za kazi vijana wa kike na wa kiume. karibu kwenye Promosheni kubwa ya uuzaji wa vitabu katika mikoa ya D'salaam, Arusha na Moshi itakayoanza mwezi huu wa pili. Usaili utafanyika tar 31/1/2015 kwa D'salaam na taehe 15/2/2015 kwa upande wa arusha na...
  9. M

    Uteuzi wa Kikwete umetenguliwa na Bunge!

    Acha apumzike tu hawa jamaa wana kiburi sana!
  10. M

    Kuoa wake wanne ni ushujaa, tamaa ama mahaba? - Kibonde

    Ukweli utabaki palepale ni tamaa tu japo mtu atajitahidi kutloa sababu nyingi sana kuficha ukweli wa kile kilicho ndani yake "Tamaaaaaa!!"
Back
Top Bottom