Search results

  1. Nyiluka

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Mheshimiwa Makonda alidhibiti matumizi ya dawa za kulevya, alisaidia kuzuia mashoga kutokujiachia (alidhibiti ushoga), alisaidia watoto kupata bima za afya, alisaidia walimu kuthaminiwa kwa kufuta nauli za daldala kwa walimu na alihakikisha uimarikaji wa ustawi wa jamii kwa kuwashughulikia...
  2. Nyiluka

    Hesabu iliyomliza Abdul Nondo wa ACT Wazalendo huko Mbarali 63+40+2+1 = 70. Zamani angesingiziwa Magufuli!

    Unaweza kuta wameamua wasiibe hizo za ACT, ila wameamua wajikadirie tuu zao
  3. Nyiluka

    Magomeni Kwa Zito Usiku

    Ndo mtaa gani hapo kwa Zitto? Au ni pale kunapoangaliana na Shibam iliyoungua?
  4. Nyiluka

    Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

    Kama wapo vizuri si waanzishe chama chao
  5. Nyiluka

    Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Kwani nchi inakosa nini yeye asiporudi?
  6. Nyiluka

    Kwanini watu hawa hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU?

    Hii ni kama vile nyumba iliyozaliwa TANU pale mwananyamala wanavyoisahau
  7. Nyiluka

    Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    Naomba ugusie kidogo na ile nyumba ambayo TANU iliundwa pale Mwananyamala A kwa Mwinjuma
  8. Nyiluka

    Kwanini kugombea Urais ni 'very addictive'?

    Zile kura za urais kuna kiwango kikifikia chama huwa kinapata ruzuku. Kwahiyo, ni muhimu kuweka mgombea urais labda iko kiwango kinaweza kufika na chama kikipata pesa ya kujiendesha. Ila sidhani kama wanaogombea wana nia nyingine zaidi ya hii, mana kuhusu kushinda sio kweli, kwasababu kuna...
  9. Nyiluka

    Nchambi na kesi ya Uhujumu Uchumi: Dhamana ipo wazi

    Haina shida, huyo ni Mbunge wa chama tawala hawezi kutoroka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nyiluka

    Chama Cha Wananchi(CUF): Taarifa Kwa Umma

    Inamana Kambaya siku hizi sio afisa habari? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nyiluka

    Flash disk haionekani kwenye PC

    Kama ndio huwa zinakufa hivi, itakuwa kweli imefika mwisho wake. Nashukuru!
  12. Nyiluka

    Flash disk haionekani kwenye PC

    Nikiichomeka inatoa mlio tu, lakini haionekani.
  13. Nyiluka

    Flash disk haionekani kwenye PC

    Naomba kujua nifanyaje, flash disk yangu nikiingiza kwenye PC haioneshi chochote (Yaani kama sijaweka kitu). Au ndio ya kutupa tena ishafikia mwisho wake?
  14. Nyiluka

    Kabla dunia haitaumbwa huko nyuma yake kulikuwepo na nini

    Dunia ni Sayari ya tatu. Hivyo, kabla ya dunia kuna Mercury na Venus
  15. Nyiluka

    Katika wanawake 10,wa 5 wanaingiliwa jicho

    Huku kitaani kwetu wanaita dhahabu
Back
Top Bottom