Search results

  1. C

    Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Umenena vyema mwanzoni kasoro hapo kwenye kuligawa taifa! labda mgawanyike ninyi mnaokaa meza kuu. Sisi huku tunaombana chumvi, tunaombana mbegu (vuli hii!) tunaazimana majembe, tunazikana. Kifupi tunaharakati nyingi za kutuweka pamoja kuliko za kututenganisha. Kama hujawahi kuwa na shibe huwezi...
  2. C

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Nilisamehe kwa moyo wote, na tofauti na mwanzo nikajipa muda mwingi wa kukaa nae na kumshauri jinsi ulimwengu ulivyo na namna ya kuvishinda vishawishi, it seemed to have worked! A lot passed, uphills and down the valleys then we were blessed with a child mwaka jana na tukaanza maandalizi ya...
  3. C

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    when sugar saturates in solutions don expect utamu kuongezeka. Jamaa hawaja fulia wamefikia kikomo cha kuwaza na kubuni. Niwakatik muafaka sasa kushirikisha wadau wengine wa vichekesho kwenye vipindi vyao ili kuleta ladha mbadala.
  4. C

    Is our president serious?

    Natanguliza samahani, mimi sikufanikiwa kukiona kipindi hicho, napata shida ku follow, na nikifata link za video zinakataa, jee naweza kupewa hali halisi ni swali gani aliulizwa na approach yake ilikuwaje. Samahani tena.
  5. C

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    Sampling ya washiriki hapa inaweza ikawa ni tatizo. Imeonekana washiriki wengi wanauelewa wa kawaida kabisa juu ya mambo ya msingi.
  6. C

    The Worlds Dirtiest Cities!

    Statistics ni muhimu lakini inategemea umezichukua angle gani, hapo inabidi ifahamike kama tunazungumzia Air pollution or wat, maana sitaki kuamini Dar index yake ipo juu ya Brasil.
  7. C

    Goodbye President George W. Bush!

    all the criminals will be paid here here!!!!!!!!!
  8. C

    China now 3rd Biggest World Economy

    The notion "we are poor" have been eating us slowly like a cancer, unless we learn it hard way, economic liberation is no where to be found!!!!! Mi naona tanzania tuache kudhani tunaweza jenga bila kutoa jasho tuache ujanja ujanja. Tuangalie hawa tunaowabudu kama miungu namna walivyo toka, wengi...
  9. C

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    Dah Konga alikuwa mkali kama pilipili haswa siku za usafi. Jamaa alikuwa haoni hatari kukupiga viboko kama mwizi.
  10. C

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    ha ha ha ha ha ha wakuu mmerutubisha kumbukumbu zangu sana, ni kweli pamebadilika sana, mara ya mwisho natoka pale vijana walihamishia upepo shule fulani hivi ya wasichana ipo maeneo ya kibamba dar, nakumbuka people walikuwa radhi watembee hata kwa miguu toka kibaha kuwaona tu wale watoto.
  11. C

    Je Voda ni wezi?

    Not Zantel man labda tigo ndo wameanza kuwa wezi nw dayz, ukijiunga na huduma yao ya extreme wanakata kabla ya muda kuisha.
  12. C

    Swali la wakina dada

    Mme nena vyema......
  13. C

    Ridhwani afunga ndoa!

    Kwani mchaga sio mtu?
  14. C

    Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

    Dah! Man hii topiki iko hot sana yan unaweza uka ukwea U PhD mwisho wa kuijadili. Nataraji kurudi kuchangia hapa mfungo ukiisha. MY BLOOD SUGAR IS VERY LOW.
  15. C

    Ridhwani afunga ndoa!

    blah!! blah!!!
  16. C

    Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

    Yererooooo!!!!! Kumbe na hizo bado, zipo....... Duh,, Ningeijua lugha ya kushangaa ki computer ningekushangaaa weeeee!!! Ila usijali hujafa bado, chukua zako spedi, sururu, na jembe, kisha anza mdogo mdogo mpaka wanapolala wale wakazi wa nchi za nje a.k.a makaburini, wasalimu afu anza kuandaa...
  17. C

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ni heri kila mtu abaki peke yake na auamini moyo wake tuuu!!! Dunia hii ishafika mwisho, walichoweka mbele wapenzi ni uongo wingi. Na hakuna such a thing called true love, labda ule Mlav wa pale cross unaweza kuitwa hivyo.
  18. C

    US Election Coverage 2008

    Politics!!!!! who can explain it..............
  19. C

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ni kweli Isiyokuwasha hujailamba..., lakini Mngojea masika shamba hata lilima!!! mimi nachohitaji si kuzungumzia nini kilichotokea na nini yule binti amefanya, nachohitaji kwa sasa ni kupata maoni, ushauri, wosia, nasaha,tambuzi,uzoefu,na hata tiba ya Ku OVERCOME THE FACT ndio maana nikaja hapa...
  20. C

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ni kiasi gani cha muda mtu anahitaji kusahau... Tatizo lipo hapo natamani ningeweza kuchukua uamuzi tofauti, kwani tangu nilipojua nimekosa amani, the Body is willing but the Spirit is too weak, kifupi nampenda sana huyu binti, itz just i cant live with the fact kuwa kuna wageni walimtembelea.
Back
Top Bottom