Search results

  1. Going Concern

    Nishauri juu ya Tiles nisifanye makosa ya kawaida yanayoweza kuepukika

    Umetumia muda wako kabisa kujibu hivi? Ungekaa kimya Hakuna ambacho ungepoteza.
  2. Going Concern

    Nishauri juu ya Tiles nisifanye makosa ya kawaida yanayoweza kuepukika

    Habari wakuu! Nimerudi tena baada ya kujikusanya na kujipanga sana. Nimefika hatua ya kuweka vigae (tiles). Sasa kuna jambo ambalo nimejaribu kupitia post mbalimbali na kugundua kwamba vigae pia vina daraja (grades) tofauti, yaani A, B, C. Kutokana na bajeti yangu, sioni uwezekano wa kutumia...
  3. Going Concern

    Kipi kianze? Kupaka Rangi ndio niweke PVC Windows au niweke PVC kwanza Ndio nipake Rangi?

    Habari za wakati huu wajuzi wa mambo. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, nimefika stage hiyo na ningependa kufanya kitu sahihi ili kuepuka makosa ambayo ningeweza kuyaepuka endapo ningeomba ushauri kwa watu wenyekujua kipi kifanyike. Nimeshamalizana na skimming, je naweza paka rangi...
  4. Going Concern

    Kipi ni sahihi? Kuanza na plasta ndio uweke frame za milango au uanze kuweka frame then plasta?

    Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri. Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
  5. Going Concern

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani. Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje. Asante
  6. Going Concern

    Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Mkuu unamaanisha 3 phase ni wastage of resource? Physics yangu mwisho form 2 tena ya kuunga unga sana. sina idea yeyote. Ebu Leta elimu mkuu,
  7. Going Concern

    Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Shukrani Mkuu, inaonesha Uko vizuri hii field.
  8. Going Concern

    Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  9. Going Concern

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni mnisaidie hii Kesi. Kivipi hapa hii tiketi imekua lose?
  10. Going Concern

    Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

    Few will understand. Siku hizi kuna fashion nyingine, kua na wanawake wengi, ndio ujanja na sifa.
  11. Going Concern

    Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

    Unapungukiwa nini ukipuuza? Mwanamke akikuona ww sio type yake, ww tafuta mzuri zaidi yake.
  12. Going Concern

    Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

    Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi sanaaa mimi ni mpenzi wa jukwaa la Habari, siasa, Biashara na uchumi, pamoja na Jukwaa la Afya. Usiku...
  13. Going Concern

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Online siwezi cheza chini ya Laki tano
  14. Going Concern

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nimefungua Acc Perimach, nikaweka 1M nikacheza game ya Simba nikaliwa, lakini naona wamenipa Bonus ya 1M nataka kuitumia kubet but nashindwa. Ukitaka tumia Bonus unafanyaje?
  15. Going Concern

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting ni kama saving Account. Unaliwa 500,000 baada ya miezi mitano unakula 500,000. Inafurahisha
Back
Top Bottom