Search results

  1. G

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    Unaujua uzito wa 1-2 billioni au unaongea tu kwa nafasi ipi ndani ya VX V8
  2. G

    Hawa Paka Wangu Siwaelewi

    Nilikuwa nimewawekea sumu kwenye chakula wakula nimetoka sasa hivi nje nimekutana nao wako buheri wa afya tena bega kwa bega
  3. G

    Hawa Paka Wangu Siwaelewi

    bb
  4. G

    Ni sheria ipi ilifuta fao la kujitoa?

    Halafu ukienda kufuatilia mafao wafanyakazi hasa wa Nssf wanakukata jicho baya, jicho la ugaidi, kisasi na chuki. Utasema unachukua pesa toka kwenye wallet zao
  5. G

    Duuuh, kweli wanawake wengine!

    Halafu siku hizi HIV hata sio issue kivile kama ajali za barabarani
  6. G

    Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Dawa ya mwanamke ni mwanamke
  7. G

    Nahitaji Tumbaku-Kwa Kiwango Kikubwa

    Habari wadau, Nipo Arusha ninahitaji Tumbaku kwa ajili ya soko la nje zenye specification zifuatazo: Full leaf with 1 year storage, nicotine 0.7%-1.3%. Not much spice. Mwenya taarifa au uwezo wa kunisupply tuwasiliane.
  8. G

    Naomna kueleweshwa faida za mti wa mkuyu

    Nina house maid mpya kwa muda amekuwa na tabia ya kuumwa kichwa ghafla na kudai kuwa dawa pekee ambayo huwa anapatiwa kwao ni dawa ya mti wa mkuyu. Sasa hapa ndipo ninapotaka kujua kuhusu mti huu wa mkuyu...just curious
  9. G

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Yaani mm hii mada ndio imenipa hamu ya kwenda Bar sasa hivi! Duh
  10. G

    Jamani muacheni chui aitwe chui nyie!, huyu si paka eti

    Hahahahahah! made my day! halafu wana kofia za bodaboda
  11. G

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Nyie ndio huwa mnachinjwa na kunyofolewa viungo vya zinaa halafu magazeti yanaanza kuandika na kulaani bila kujua habari nyuma ya pazia
  12. G

    Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

    Aisee kumbe hi thread bado inaendelea, nimeshamaliza kila kitu
  13. G

    Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    We unauliza yote hayo ni sawa na kujisumbua, huku kwetu ni kifalme falme ya kitraditional zaidi, hawafikirii serious attack kwa rais hasa wanawaza attack kama zile za CCM kirumba za kumsukuma rais anguke ndio maana hao wananing'inia kwenye X3 tayari kukimbiza mtu/kibaka, just tazama wote...
  14. G

    Baada ya Wema kumwaga, Diamond nae amwaga haya...

    Sharti namba 2 mbavu sina hadi INSHAALLAH! zinakuwepo kwenye mkataba!!!
  15. G

    Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

    Pia kwa kuendelea kukusaidia jaribu kufikiri gharama zifuatazo kwa nyumba ya ghorofa ndogo yenye vyumba vitatu chini kimoja self contained, choo cha public, sebule na jiko halafu ghorofa ya kwanza unakuwa na vyumba viwili vya kulala self contained, TV room, study room, 2 balcony (ya master bed...
  16. G

    Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

    1. Hapo haujaweka rangi na finishing, hivyo vipengele vya milioni ishirini ni ndogo sana ingawa kwa macho na matamshi inaonekana kubwa, lets say linapokuja suala la mbao na mirunda tu si chini ya mil 10, bado haujaongelea milango, madirisha nayo inategemea ni ya aina gani alluminium? na yenyewe...
  17. G

    Naomba Kuuliza-NI lazima Bajeti za Mataifa hasa EAC kusomwa siku moja?

    Katika kutafakari tu ni makubaliano yapi au msingi upi unaofanya bajeti za nchi mbalimbali hasa afrika mashariki kusomwa siku moja na takribani kwa muda unaofanana? au kuna sababau za kiuchumi? kisiasa naomba kueleweshwa katika hili kwani kwa siku ya jana nimesikia bajeti ya Tz, Kenya na Uganda...
  18. G

    tulisa is the sexiest woman in the world!

    Hapo kwenye nyekundu
  19. G

    Magazetini leo

    Hapo kwenye red unazidi kunitia wasiwasi zaidi juu y aintegrity ya chama, na approach ya kuanzisha chama imara cha siasa kwa kuanzia na ndugu bado sikubaliani na wewe hata kidogo, ingekuwa hivi basi TANU, ASP vingejaa koo za waanzilishi wa chama, lets us be a little bit critical katika sensitive...
Back
Top Bottom