Search results

  1. S

    house for rent

    dola 1= 1583
  2. S

    house for rent

    Three bedroomed house for rent in Changanyikeni (Nearby University of Dar es salaam) US$650PMBathrooms : 1Bedrooms : 3Location: Changanyikeni (University Area), Dar-es-SalaamLiving (Sitting Room) Area (Sqm): 58Plot Size (Sqm): 1 Acre Asking Price: USD 650contact;+255-713-252423+255-714-947596
  3. S

    kujenga karibu na nguzo kuu za umeme

    Unapozungumzia kujenga karibu na nguzo kubwa za umeme inamaanisha umejenga kwenye Right of Way (RoW) ya eneo la TANESCO, haya maeneo yana ukubwa tofauti kulingana na umeme unaopita hapo, i.e kuna umeme wa Kilovoti 11 ambao unahitaji Way Leave ya Metre 3 X 3 yani kila upande uache mita 3, umeme...
  4. S

    nikiwa na 40mil naweza jenga nyumba ya namna gani....

    kaka asikudange mtu kwahiyo pesa utajenga nyumba ambayo siyo kamili au kwamaneno mengine sio ya kisasa..nyumba ya vyumba vitatu yenye sebule ya kutosha, dinning, vyoo viwili na parking ya gari..ikiwa imefanyiwa finnishing ya kisasa inaenda mpaka millioni 80 reasonable one.
  5. S

    Wewe unahisije?

    ni kweli jamani, mimi binafsi nimependa sana jibu lake...na kwakuongezea lazima tujue kwamba mwili wa mwanamke wote ni uchi na ndio maana unaweza kumtamani hata kwa kuangalia mguu wake tu kwahivyo ni vizuri wakajistiri pote ili kupunguza matamanio na vishawishi kwa wanaume
Back
Top Bottom