Search results

  1. J

    Mh. Zitto na Martin Luther King

    kamwe huwezi kufananisha kunguru na njiwa kitabia...huyu yuda wa chama ni mzalendo wa kifikra mwenye matendo na hulka za kifisadi
  2. J

    what's the differece btn LLB for 3yrs and that of 4yrs b'se it's the same degree, why?

    naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree, tofauti yake ni nini kwa hao graduates with the same and similar degree?
  3. J

    what's the differece btn LLB for 3yrs and that of 4yrs b'se it's the same degree, why?

    naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree, tofauti yake ni nini kwa hao graduates with th same and similar degree?
  4. J

    Kuwasilisha inquest coroner’s court

    coroner pia inquest coner's court tafsiri yake nini kisheria
  5. J

    wabunge wetu wanatunga sheria au wanapitisha sheria na kama wanatunga je, wanazo sifa za kutunga?

    Naomba kuelimishwa juu ya hivi kweli sifa za kuwa mbunge zilizoainishwa kwa mujibu wa katiba yetu, zinajitosheleza kumpa mbuge uwezo wa kutunga sheria?
Back
Top Bottom