Search results

  1. lowestein

    Wenye viwanda vya pombe za viroba nendeni mahakamani

    Huwa nasema kuna watanzania wanapaswa kupimwa akili.. Kuna watu wana uwezo mdogo kabisa wa kufikiri..
  2. lowestein

    Trafiki waanza rasmi kukamata magari yote yenye taa za urembo, Sports Light

    Hizi taa watu wengi hawajui namna na mahali pa kuzitumia.. mie naona sawa tena sawa sana.. eti wanaota "Jua" akili ndogo kabisa.. mjini mtu anawasha sport lights za nini sasa..
  3. lowestein

    Ukweli kuhusu Uswisi na siri za kibenki: Siasa za Uswisi ndiyo mwamuzi

    UNGELETAHOJA UNGEKUWA/UNGEONEKANA WA MUHIMU KWELI KULIKO ALIYE ANDIKA...
  4. lowestein

    Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo

    Jiangalie mwanamke... Anachepuka coz kuna kitu wamnyima mtoto wa mwanamke mwenzio na ndo mana anahangaika nnje...
  5. lowestein

    Wanawake/wanaume mnahitaji nini ndani ya ndoa mtulie? Semeni hapa

    Mwanaume anahitaji HESHIMA, SEX (coz its a basic need to all men).. Na MWANAMKE ANAYEJIELEWA na MNYEMNYEKEVU (ila sio unyenyekevu wa kifala).. Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu..
  6. lowestein

    Wanawake/wanaume mnahitaji nini ndani ya ndoa mtulie? Semeni hapa

    Umesema vyema sana ila hapo kwenye uhuru nina shida kidogo... Mishe za kiume ndipo wengi wetu hujificha.. ni uhuru na kuaminiwa kwenye kutafuta hela...
  7. lowestein

    Ndoa ndoano, nani tatizo?

    Taasisi yoyote ina majukumu na lazima iongozwe.. kila binadamu hapa duniani ameumbwa kwaajili ya kazi fulani na ana majukumu yake katika jamii, familia, kazini, kitaifa na kwengineko ila pia kila mmoja ana nafasi yake katika NDOA.. iwapo wewe ni muumini wa dini eidha ya kikristo ama ya kiislam...
  8. lowestein

    Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

    Nina wasiwasi na uwezo wako.. Unajiuliza uchague lipi kati ya Facebook na Ndoa!?!?
  9. lowestein

    Picha: Kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika leo, Tulia Ackson alikuwepo

    Speaker wa bunge yu wapi au likizo??
  10. lowestein

    Katuni ya Gado ikimhusu Rais Magufuli yatwaa Tuzo ya Dunia ya Amani ya Umoja wa Mataifa(UN) Geneva

    Umiangalia haraka kama vile inamsifu ila duh.. haiko sawa kwa image...
  11. lowestein

    Hivi hili ni pepo la ngono au ni hali ya kawaida?

    Ukimwi unakuita... walau ukifika 30na ukimwi juu usilaumu...
  12. lowestein

    Hili la Rais Magufuli kiprotokali limekaaje?

    Watu hupenda kuchukulia mambo kimzaha mzaha...china na japani kipindi flani walisimamisha mazungumzo kwasababu japani alitaka kutoa mkono kwanza baada ya kusaini makubaliano na baada ya china kukubali ombi la japan ndipo saini za makubaliano kuhusu kisiwa yalisainiawa... Kila ishara, kitendo...
  13. lowestein

    Hapa Arusha wako wapi watu ambao walikuwa au wanaompenda Lowassa?

    Ulienda kuuliza kuhusu Lowassa ili iweje kwa mfano?!?! Lowassa Noma..Viva Lowassa!!!
  14. lowestein

    Mwanamke mjamzito kutokwa na chunusi nyingi usoni, nini chanzo na tiba?

    Mabadiliko tu ya mwili.. sidhani kama kuna tiba... tiba ni kujifungua tu!!!
  15. lowestein

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Hivi hawa wenye akili za namna hii huwa akili zao zipo kichwani kweli???? Kwanza majimbo ni mawili tu... hayo mengine umeyatoa wapi??? Kwani tanga "handeni" ipo kanda ipi?!?! Na ukanda unaingiaje hapo jmn.. ivi kuna watu wamerongwa au??!?
  16. lowestein

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mkijiji umemaliza... mleta mada kalale...
  17. lowestein

    Rais Magufuli afunga Kiwanda cha Maziwa cha familia ya Uhuru Kenyatta

    Niliifahamu JamiiFurums kuwa sehemu ya watu wenye fikra na uwezo mkubwa...haikupita siku nisiingie jamiifirums... siku hizi hata wiki inakata... Sasa Lowassa anaingiaje hapo... au ndio kutafuta kiki??!!!!
Back
Top Bottom