Search results

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukl tanesco wameweza kufika kwangu na kulekebisha kumbe waya ziliachia kwenye nguzo
  2. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mi sylivanus msanje 0717599264 Dar es salaam Wilaya ya kibamba Malamba mawili Toka alhams nilipoti tatizo mita kutozalisha umeme kuingia ndani ya nyumba lkn mpaka sasa sijaona watu wa tanesco kila nikipiga simu wanasema wanakuaja wanakuja sioni fundi yoyote kufika nilipewa namba ya taarifa...
  3. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jina.sylivanus msanje Simu.0717599264 Mkoa.dar es salaam Wilaya.ubungo Mtaa.Malamba mawili mpakani Kitu,Bar kwa tesha Mita no.54172211200 Toka Jana mita imekata umeme umeme auingii ndani lkn pale kwenye mita upo sina namba za imejens mtanisaidiaje.
  4. S

    JK zungumzia haya kwenye hotuba yako ya mwisho wa mwezi July

    nataka kwanza nimjibu salas rais ndiye mwenye jukumu lakujua jinsi yakutatatua tatizo la umeme kwanza anaweza kuamrisha makampuni kuwekeza tanzania napia kuwaeleza TRA kuwapunguzia kodi nakupata umeme kwabei nafuu,kuhusu ngeleje unaweza kueleza kafanya nini ktk utawala wake?wewe una mke...
  5. S

    Kwa mwenendo huu, anayemsifu Kikwete lazima anatetea maslahi binafsi siyo bure!!

    kwanza nasema kama tungekuwa na rais anaye jua uongozi nini najua kwanza angemuondoa kwanza ngeleje katika kiti anacho kalia,lakini kama atakaa kimya tutakuwa tuna garasha siyo rais.
  6. S

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    nadhani kesi hii itakuwa nzuri tuweze kujua mari anzo miliki kazitoa wapi pia hela kapata wapi kufikia kumiliki makampuni nitaflahi sana,pia naomba mungu anilinde nifike siku hiyo.mungu hibariki tanzania tusikilize kesi yawanao tafna nchi yetu.
  7. S

    Kwa mwenendo huu, anayemsifu Kikwete lazima anatetea maslahi binafsi siyo bure!!

    je,unaweza kuelezea jamii kwanini kashindwa kusema chochote,kuhusiana na majeshi ya nato kuhivamia libya sema ukweli kuwa tanzania tumekosa kiongozi tumepata galasha tu kama uko dsm niambie uchumi wanchi unaweza kupanda bila viwanda kufanya kazi au siyo mtanzania ndiomaana unamsifia ujinga...
  8. S

    Kwa mwenendo huu, anayemsifu Kikwete lazima anatetea maslahi binafsi siyo bure!!

    wewe kweli kwenye wendawazimu nawewe umo je?libya kuna kitu kasema,tunabidi tuwe wakweli siku zote maraisi wa afrika wengiwao niwake wa nchi za magharibi kasoro kidume kama gadafi mugabe tu.
Back
Top Bottom