Search results

  1. cyberspace

    Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

    Kwa mtu yoyote aliyesoma historia ya West Africa , lazima atajua kuna nchi inaitwa Guinea Conakry ambayo ndo Guinea. Vile vile kama ulisoma Novel ya The African Child ya Camara Laye utajuakuwa kuna nchi inaitwa Guinea Conakry . Tujibidishe kufanya uatafiti kabla ya kubisha ndo kujifunza...
  2. cyberspace

    Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

    Forgotten, kabla hujabisha fanya utafiti. Usibishe pa pa paa kama bata. Wakati mwingine inaitwa Guinea Conakry . Conakry ndo mji wake mkuu. "Guinea (/ˈɡɪni/ ⓘ GHIN-ee),[a] officially the Republic of Guinea (French: République de Guinée), is a coastal country in West Africa. It borders the...
  3. cyberspace

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    FAIZAFOXY nilidhani umeenda shule na kwamba nilikuwa nadhani unafahamu kwamba haki ya kuongelea kitu au taarifa yo yote inakwenda sambamba na ujuzi au ufahamu sahiihi wa eneo hilo. Faiza hufahamu chochote kuhusu jamii ya Kigoma . Hivyo acha kupotosha
  4. cyberspace

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Lord Denning tafadhali soma hiyo pdf file ujifunze kuhusu lugha ya kinyarwanda kirundi na kiha(Giha)
  5. cyberspace

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    LORD Denning, naona sasa unataka ku victimise watu. Ngoja nikueleze makabila yafuatayo almost yanatumia lugha moja lakini rahaja tofauti ( one language but different dialect) . Makabila haya ni Waha na wahangaza ambao wapo Tanzania, Burundi utawakuta Watwa, wahutu na watutsi, Rwanda utawakuta...
  6. cyberspace

    Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    @lChizi Maarifa , muendelezo please
  7. cyberspace

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Ukila sahani moja na wanyang'anyi na wewe ni mmoja wao
  8. cyberspace

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Usidandie gari kwa mbele , nimekuambia kulikuwa na upigaji Je hujui kuwa aliwahi kiwa mjumbe pale NSSF (as it then was)? Ujenzi wa majengo ya ovyo ovyo ambayo hayawezi kurudisha ghalama haraka , hivyo poteza pesa za wafanyakazi. Yeye Assad wakati wa tenure yake alifanya nini? The guy has...
  9. cyberspace

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Safi sana mkuu. Huyu mtu amekuwa kwenye bodi nyingi kabla ya kuwa CAG , wewe umetaja NBC , vile vile kuna NSSF to mention but few . Taasisi hizi zote zilikuwa zimajaa upigaji. Tatizo la wabongo hawajuii falsafa ya chapati au samaki kukaangwa kwa kugeuzwa geuzwa , ukimgeuza geza Assad hafai hata...
  10. cyberspace

    Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

    Well said , kwa kweli ni unmeasurable, hizo takwimu amezitoa wapi? A professor!!! Siyo sawa kuongea bila kuwa na credible authority to support your arguments
  11. cyberspace

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Well said , ni kweli hayuko specific , nyaraka zipi aliomba . Anonekana ni mwenye hasira , chuki , kwa sababu hizo hawezi kuwa na balanced judgement ya anachokisema
  12. cyberspace

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kabla hujatumia energy yako Assad hawezi kuwa VP kwa sababu ni kinyume na Katiba. Katiba inaeleza wazi mtu aliyewahi kuwa CAG hatashika madaraka yoyote katika ofisi ya Umma. Hiyo ni moja pili , maana nimeona sehemu CHADEMA wanampigia upatu , uongozi kama huo hautolewi kishabiki wala kwa kumuonea...
  13. cyberspace

    Update: Kenya-Somalia border wall

    Wewe Nyangau , heros and statesmen never die . He will remain to be Jemedari evenif he is not with us
  14. cyberspace

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Admitting what you poor nyangau ? Nyangau is always nyangau. You are not hard worker rather we assisted you in shouldering some of your unemployment burdens . However instead of being grateful you decided to backbite us by voting against us not to sell elephànt tusks, campaigning against...
  15. cyberspace

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Wee nyangau tuliza mshono hivi unadhani tunaogopa . Yaani Mama hata akikaza hata Mara 20 we don't care so long as the so called sleeping Giant is running now. Nawaombea na wasomalia wawashinde ICJ ili tuwatawale kisawa sawa
  16. cyberspace

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Wakenya wamezoea sana kuitumia Tanzania . Kipindi hiki cha jiwe walifyata sana kazi ualimu ziliota mbawa , umeneja mahotelini mbawa, u ceo kwenye masharika mbawa, ununuzi wa Tanzanite ki holela mbawa nk nk. Hawa jamaa hawawezi kumpenda Chuma hata kidogo. RIP Chuma. Asante sana kwà kutukomeshea...
  17. cyberspace

    At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Support us The Guardian - Back to home Sri Lanka bombings: Isis claims responsibility for Easter Sunday attacks – live news Country holds national day of mourning as questions swirl as to whether attacks were preventable Full report: first burials take place on day of mourning Sri Lanka...
  18. cyberspace

    At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Mimi nasubiri Sheikh Ponda Issa Ponda atoe tamko kali la kulaani mauaji hayo. Tafadhali naomba umfikishie ujumbe huu.
  19. cyberspace

    At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Nangojea tamko kali la Sheikh Ponda Issa Ponda la kulaani mauaji haya kama alivyofanya kwenye yale ya Christchurch NZ.
Back
Top Bottom