Search results

  1. P

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    ASALAM ALAYKUM! Nachokiona ni Jazba. Soma mandishi ya Mohammed na vitabu vyake kisha ukosoe. Waislamu wametendewa vibaya sana na kuna hatari juu ya hili, ingawa watawala siku zote hua hawayaoni hayo.
  2. P

    Hotuba ya Mhe Moh Dewji: April 25, 2009

    Sisi Wa-islamu huambiwa ukitoa Mkono wa Kulia wa Kushoto usijue, sasa Dewji kutoa ni wajibu wake lakini kupiga kelele nimetoa hivi na vile naona kuna walakin. Ima anajipigia Zumari kurudi tena kilaini kwenye nafasi yake au anajionyesha kwa Kiswahili cha kwetu visiwani ni KUJIPA. Hizo fedha...
  3. P

    Kazi ya kuubomoa upinzani ndiyo imeanza ama inatekelezwa?

    Wa-Tanzania na Tanzania kuanzia Wan-Saiasa, Wasomi, Watu wa Kawaida hawawezi kujifunza alama za wakati na saa zote wapo katika kujidanganya kuwa ni nchi ya Amani, wanaendeleza fikra za Mwalimu, Tanzania ni mfano, Tanzania ni nchi yenye haiba ya kila kitu. Mie nikiwa M-Zanzibari nasema kuwa...
  4. P

    Tendwa na Wapinzani!

    Unapokuwa unaburuzika Juzi Ijumamosi nilikiona kipindi ambacho Generali Ulimwengu akikiendesha kwenye TBC akiwa Tendwa yupo nilimstajabu mtu kama yeye akiwa anaitwa msomi kwakuwa tu yumo kwenye System anajisahau na anajikuta anazungumza kama wanasiasa waliofilisika. Anasema "America...
  5. P

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    Polygamy Sioni sababu mtu kama Mwafrika kuwa anapinga Polygamy. Wanaume wangi wanakuwa na hamu ya kimapenzi yakupita mpaka, na mara nyengine wanaume wengi pale wake zao wanapokuwa kwenye Hedhi (Mensuration) hupata tabu sana. Unapoowa mke zaidi ya mmoja hakika na ukaelewa Culture na Religious...
  6. P

    Ukombozi wa mwanamke

    Wa-Africa baadhi ya wakati huonekana watu wa ajabu kwa kuwa tunapenda kuchupia mambo. Wanawake kwa kweli katika Jamii za Ki-Africa hugawana kazi na wanaume na huwa ni kinyume kwa mwanamume kufanya baadhi ya kazi na huwa kinyume kwa mwanamke kufanya baadhi ya kazi. Kuvua huwa kazi ya mwanamume...
  7. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Asalam Alaykum! Nikiwa Shabiki wakutupwa wa Manchester United kuanzia mwaka wa 1966 hadi hii leo kwa kweli Sir Alex Ferguson anahitajia kupewa kila sifa kwa kuiwezesha team aliyoichukua wakiwemo walevi watupu kina MacGrath na wengineo hadi akaja akawapata kina Cantona na kuanza kuchukua...
Back
Top Bottom