Search results

  1. Nish

    Mikakati thabiti ya siasa UKAWA

    Tunaa imaani na Lowaasa
  2. Nish

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama.
  3. Nish

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Kati ya mimi na wanaopeleka siasa katika nyumba za ibada yupi kaishiwa?Nyi ndo msioitakia mema nchi hii.
  4. Nish

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Hakuna haja ya kudanganyana hapa Mara mgombea wa ccm hakubaliki Kinachoendelea Sumbawanga ni siasa chafu za udini,Wakristo wote wameelekezwa na padri kuchagua chadema.Nilipita kwenye mikutano Ya chadema wanafungua kwa sala za kikristo na kufunga kwa sala ya kikristo utafikiri wako...
  5. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Inategemeana na gauge piga simu kwa maelezo zaidi 0758206700
  6. Nish

    Mbeya roofing sheet

    tupigie simu 07658206700
  7. Nish

    Mbeya roofing sheet

    AZ mkuu na ni bora sana
  8. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Bei inategemea na mita gauge tupigie 0758206700
  9. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Mkuu hizi zinatoka kwa mita kwa mfano fundi wako anakupimia anakuambia mita zinazohitajiKwa maelezo zaidi piga simu 0758206700
  10. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Tupo mbeya nyuma stendi ya kabwe tupigie simu 0758206700 karibu sana mkuu
  11. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Hapana yamefanana na ya msaouth karibu kiwandani uje uonee mwenyewe
  12. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Kwa wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake,Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyakeKwa mahitaji ya mabati ya kisasa yenye migongo dizaini zoteNa misumari yake waone MBEYA ROOFING SHEET au piga simu au wasup No 0758206700 karibuni sanaaa
  13. Nish

    Mbeya roofing sheet

    Haya wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake, Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyake kwa mahitaji ya mabati ya msauzi (kisasa) migongo aina zote na misumari yake inapatikana at reasonable prices .Karibuni sana au wasup 0758206700
  14. Nish

    Simulizi za polisi kuua gaidi Arusha

    Inasikitisha sana,Hivi mtu akikimbia anatakiwa kuuwawa? Tunalo jeshi la polisi mambumbumbu,Duniani hakuna haki watakutana na malipo yao siku ya mwisho. INNA LILAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN.
  15. Nish

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Wazungu rudini kutawala Africa,Waafrica janga la dunia.
  16. Nish

    Mahakama za kadhi nchi zingine za Afrika

    Hawataridhika wakristo na mayahudi mpaka mfate mila zao. Nimeanza kunukuu aya ya mwenyezi mungu kwa wale wanaopinga mahkama ya kadhi,jamani sisi dini yetu ni mfumo wa maisha. Kitabu chetu kimekamilika,kadhi hatoi maamuzi yake yeye anafungua kitabu na kupata maelekezo nini mungu anataka...
  17. Nish

    Nimedhulumiwa jamani

    Duh,huyu atakuwa mpare,acha ujinga wewe ukate tamaa ya maisha kwa sababu ya kutapeliwa pesa?ulikuja nazo kutoka kwenye tumbo la mama yako? Nenda mahakamani na endelea kuchapa kazi,kubwa jinga.
  18. Nish

    William Wanyonyi: Binadamu anayejiita Mungu na Kuabudiwa kama Mungu

    Kafir kafir tuu yaani akili hawana eti mungu ana wake zake
Back
Top Bottom