Search results

  1. D

    Waliobanwa katika ajali wafariki

    Maskini inasikitisha sana, ila Mungu amewapumzisha wangekua walemavu wangeteseka sana hapa dunian, najua inauma kwa familia ila Mungu amewapumzisha, Tanzania Yetu inatuangusha kila cku. Rest in peace ndugu zetu.
  2. D

    Ntampata wapi kama huyu...

    come to me
  3. D

    huy ni Jogoo au njiwa!?

    mi nahic ni Beberu:smile-big:
  4. D

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Ccm kweli imeoza daaaaaah, kichefu chefu c kdg
  5. D

    Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

    Mmmmh kila mtu na life yake , inaelekea ww mbea sana na mambo ya watu ya kwako nani anachunguza? Hapa n mjini fata mambo yako ,
  6. D

    swali tata

    Mungu ni roho. Hafanani na chochote, japo katuumba kwa mfano wake. That y kwenye bible . Mwanzo inasema hvhapo mwanzo kulikua na neno nae neno alitoka kwa mungu ........ So read mwanzo utjua.
  7. D

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    ila ki ukwel;i this is not Good, haya mabo ya fujo hayana maana kwetu, kwa ninavyo jua mm vita vyetu si juu ya mwili na damu bali ni vya roho. tuombe Mungu aingilie kati haya mambo coz si vizuri sana. laana haitakua juu yao bali kwa watoto wao na vizazi vyao hao wanao choma makanisa. Mungu...
  8. D

    Swali lisilojibiwa: Ndege ya Qatar iliwezaje kutua KIA?

    Duuuuh ipo siku tutakosa kabisa wanyama hapa kwetu jamani!!! watalii watakua wana kwenda nchi za nje kuchek wanyama badala ya tz, tutamkumbuka Baba wa Taifa nyerere!!! wengine wote walio baki na MAFISADI WANAO UZA NCHI YETU. je kizazi chetu watabakije?? Migodi yetu tumenyanganywa now ni wanyama...
  9. D

    umeme sasa tishio!!!

    mi hata sitaki kabisa nione taa ikiwaka nashikwa na hasira na zima nawasha candle!!!! kwani najua dakika 1 unakatika ... sasa kwanini nijipe tabu kwa kweli this is tooooo!!! much .. twateseka sanaaaaaa
  10. D

    umeme sasa tishio!!!

    Duh jamani ndugu zangu umeme huu sasa umekua tishio kubwa katika nchi yetu, sijui tufannyenini ndugu zangu!!!
Back
Top Bottom