Search results

  1. R

    NEC imetoa ratiba ya maeneo ambayo vyama vya siasa vitakapofanyia kampeni zao

    Kuelekea uchaguzi mkuu Octobers 25, 2015..ratiba ya mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM Dr. John Pombe Magufuli imekaaje? Toka tar 2 septemba alipofanya mkutano Mtwara sijamuona tena akifanya mikutano wa nje. Juzi kaonyeshwa ITV akifanya mkutano na jumuia ya wazazi Dar, jana alikuwa na mkutano...
  2. R

    Kumbe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pia alikuwa anaitwa Dr kama marais wenzake Tanzania

    Jibu ni moja tu..ni kwa sababu Nyerere alikuwa Mkristo
  3. R

    Waziri Saada Salum Mkuya ulilidanganya bunge kwa faida ya nani?

    Safi sana mkuu..huyu yanamfaa majibu kama haya
  4. R

    Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    Serikali si ipo..si itaifishe hizo mali na kumfungulia Mbowe mashtaka ya kuhujumu uchumi?
  5. R

    Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

    Hivi kwa nini huwa mnahangaika kuchangia thread za huyu bibi kizee? Watu kama hawa wanaoleta thread zilizojaa urojo kama hii dawa yao ni kuwapotezea tu.
  6. R

    Chezea Zuma wewe

    Dotworld Usidandie train kwa mbele..rudi kwenye post ya kwanza utaelewa nilichokuwa namaanisha
  7. R

    Chezea Zuma wewe

    Hicho kitu kingeweza kutokea kwa Madiba mwenyewe au Nyerere?. Ukijidharau utadharauliwa, ukijiheshim utaheshimiwa.
  8. R

    Chezea Zuma wewe

    Hizo sababu nilizotoa hazijustfy kudharauliwa?
  9. R

    Chezea Zuma wewe

    No wonder anadharauliwa na raia wa south africa. Nakumbuka siku ya msiba wa Madiba alivozomewa na wananchi wake huku Obama akishangiliwa as if ndo rais wao. He is just extravagant and corrupt, knowing nothing about leadership except marrying, dancing, singing and drinking.
  10. R

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: William Middle Name: Augustao Last Name: Mgimwa Member Type...
  11. R

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Niambie ni mavazi gani unayovaa ww ambayo asili yake ni Tanzania na hujaiga kutoka utamaduni wa mataifa mengine
  12. R

    Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

    Kajilipueni ili haki isimame
  13. R

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Ni Kiongozi gani wa CCM atakayebaki na madaraka na wadhifa wake kwenye Nchi zenye Demokrasia?
  14. R

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Andika hayo maadili ya Kitanzania kuhusu mavazi tuyajue mkuu.
  15. R

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Na kuhusu mavazi maadili ya Kitanzania yanasemaje?
  16. R

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Tunaomba uanishe hayo maadili ya Mtanzania tuyafaham vizuri
  17. R

    Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

    Nakubaliana na wewe..kuna watu wanataka kuhalalisha utamaduni wa Mtanzania uwe na misingi (mwelekeo) ya dini zao. Kwanza wengi wao ni wanafiki..in private wanafanya ushenzi, in public wanajifanya watakatifu.
Back
Top Bottom