ajabu na kweli unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona?acheni ulimbukeni kwenye mitandao,hivi inatosha kumwamini mtu anayekuambia anakupenda kupitia mitandao?ulichopanda utavuna hicho hicho..kalaghabao...............
Ni muhimu aseme hasa kwa wale wenye kuishi mazingira ya kufanana kama kazini au mtaa mmoja,mwanamke asipokuambia ujue atamtafutia nafasi kummegea huyo jamaa.wanawake wana roho mbili.
Upendo unatengenezwa hauji kama mvua,tatizo la sasa kila mtu anaigiza kupenda,siyo mwanaume ama mwanamke,demu ana mind RAV4 ya mshikaji na mshikaji anamind mzigo wa demu alivyofunga teller,sasa hapo upendo upo wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.