"Tiba ya jino ni kung'oa", huo ni msemo ambao huko mtaani na hauna maana yoyote. Jino linaweza kutibiwa bila ya kung'olewa, kuna hospitali hapa Dar (kwa mfano Muhimbili, Temeke, Ilala, Agakhan) zinatoa huduma/tiba ya meno bila kung'oa. For more information, tembelea hospitali, onana na daktari...
Serikali ya Tanzania imewafanyia nini cha maana waTanzania kama wajibu wake? Sanasana tunasikia na kushuhudia viongozi wanavyoshindana kuiba mali za nchi kwa manufaa yao binafsi despite of the fact that hii nchi imejaliwa mali nyingi sana. To me bora ya Gaddafi kuliko serikali ya Tanzania, he...
Sugari ya MUNGU inafanya watu wabuni mbinu nyingi, kila wakati helo baby, helo honey, majina matamu-matamu ataitwa binti wa watu na wanajifanya wako serious na kitu ndoa ili wairambe sukari ya MUNGU na wakisha iramba tu wanaanza kujifanya wako bize na mambo ya msingi kwanza. Utasikia niko bize...
Swadakta sis P, I was just trying to figure out why did she bring that poor boy to introduce himself as a father? and where is he now? Huyo binti (beki tatu) na father house wanatakiwa watoe ufafanuzi zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.