Mwamvita Makamba alituma email kwa bwana wake ambaye ni bosi wa Barrick Gold, tarehe 17/03/2010 saa 18:33
Email inasema"Following our conversation,i can assure you that arrangement have been made for you and your team to meet H.E the president,prime minister and other high ranking officials...
Hamna cha maandamano wala nini,wote wabeba boksi tu muende kuandamana halafu boksi mtamuachia nani?mkifukuzwa vibarua vyenu nani atawapa kazi?wote wanafiki tu ninyi mpo marekani maisha ya mTZ wa igunga hamyajui acheni kutuvuruga akili
Wakati Rais JK anaingia madarakani mwaka 2005 watanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini,kikabila na kisiasa tulikuwa na matumaini makubwa na rais, tulikuwa na imani kuwa mianya ya rushwa ingezibwa,wigo wa demokrasia ungepanuka kwa kiasi kikubwa na la muhimu kabisa ni Maisha ya Mtanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.