Thanx kijuche ndugu yangu, naombeni wadau wengine mnijulishe naweza rudia mitihani mitatu ambayo nakuwa na uhakika nayo au mpk nirudie hiyo mitihani saba??? Nijuzeni pls.
Nisaidieni waungwana, nina D moja tuu ya form iv, na nimemaliza mwaka elfu mbili na nne, nataka nirisit masomo matano, jaman ntaweza kuyahimili kweli wkt nafanya na kazi??
Jamaa alikatika mkono mmoja akaona MAISHA yanakua magumu, akapanda ghorofan ajitupe chini kabla hajajitupa akamwona mlemavu hana miköno yote akirukaruka kwa furaha, Akamuuliza "mbona unaruka ruka kwa furaha wakati huna mikono yote? Jamaa akajibu "furaha wapi?? Hapa MKUN****NDU unawasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.