Search results

  1. C

    Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Umenifurahisha sana kusema kua umeokoka...ubarikiwe sana na kama kweli umeokoka utafahamu jinsi gani ndoa na maisha kwa ujumla ya wapendwa yanavyopigwa vita na shetani!! Kitu unachokosea ni kumpa binadamu mwenzio nafasi zaidi ya Mungu wako aliekuumba!! Umejishusha sana kwake adi sio poa...mpe...
  2. C

    Jinsi ya kuepuka kuwa usichotaka kuwa

    Barikiwa sana, kuna nafsi itaokoka kupitia bandiko hili
  3. C

    Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

    Hakika nchi yetu imegubikwa na ujinga na upuuzi mwingi sana na kinachouma zaidi wananchi tupo kama mazombi, tunapelekwa tu. Embu angalia nchi haina umeme, maji shida, hali ya maisha ni ngumu kwenye maofisi ya serikali ukiritimba umejaa alafu kuna wapumbavu wananyanyua midomo yao na kumkashifu...
  4. C

    Ushoga sio ishu tena! Sasa ni ndoa na wanyama

    Mkuu umeandika kitu muhimu sana, ila umekua bias kwani hata hao wanaowatumia hao mashoga na hao makahaba pia akili zao zina shida pia... Mithali 6:32-33 "Yeye aziniye na mwanamke hana akili kabisa na afanya jambo litakalomwangamiza"!! Mungu atusaidie sana!!
  5. C

    Mwl. Mwakasege: Kuna maamuzi makubwa yatafanywa na viongozi na yatawashangaza, tunahitaji waombaji wa kimkakati

    Yani hapa ukipitia comment za watu ndio unaweza kisia YESU KRISTO WA NAZARETH akishuka toka mawinguni muda huu ni nani atanyakuliwa nani ataachwa... Sijui ni kiburi cha uzima ama ni nini, Mungu atusaidie sana wengine unasoma comment zao unaona mtu anaandika ili aonekane anajua sana... Wakuu...
  6. C

    Jina la Yesu lilivyo na nguvu

    Hakika kwa Yesu kuna raha wapendwa yeye anatualika twende kwake tuache dhambi za dunia... ..."onjeni muone Bwana ni mwema!!
  7. C

    Jina la Yesu lilivyo na nguvu

    Hakika jina la Yesu na Damu yake vinanena mema mkuu. Vp bado unaendelea na uasherati/uzinzi au umeacha? Karibu kwa Yesu mkuu ya duniani yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo!!
  8. C

    Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

    Umeandika kitu cha tofauti sana mkuu...ila hapa adi uwe na jicho la tatu ndio utang'amua.... Tafadhali ikikupendeza elezea kiundani !!
  9. C

    Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Me naona ni fifty fifty haina cha kwamba imebase wapi. Maana kwa mfano tuangalie kwenye matokeo ya shule maybe ya darasa la 7 au kidato cha 4 au hata chuo.. unaweza kuta wanawake wamewaburuza vibaya sana wanaume. Ila pia mimi nawajua wanaume ambao ni empty set kichwani adi unajiuliza.. Lakini...
  10. C

    Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Mkuu hiki ni kitabu chake kipya? Maana ni mara ya pili sasa nakiona unapost. Nifafanulie plz
  11. C

    Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Kitu ambacho hujui mleta mada Mwl. Mwakasege anatumiwa na Mungu kwa viwango vya juu sana. Yeye haenendi kimwili kama hao makanjanja wengine. Kama mtu ni wa rohoni sasa atafahamu Kuna kitu kinaendelea.... maana sio coincidence tu kila Mwl. Mwakasege anapoitisha semina basi na huyo Mwamposa...
  12. C

    Kuna siri gani hapa

    Hapa alimaanisha kua binadamu kuingia mbinguni sio jambo la kitoto, ni mpaka ujikane kabisa..yani kama starehe za dunia zote uziache na ukubali kufanya matendo yampendezayo Mungu ndio utakapourithi ufalme wa mbinguni. Ni sawa na mfano wa yule tajiri alieambiwa na Bwana Yesu kua auze mali zake...
  13. C

    Masanja akamatwe na Kanisa lake lifungiwe kwa uchunguzi

    Naona chawa wa Masanja washaingia kazini kumkingia boss wao kifua, siku mbili nyuma hamkua na kasi hii.. Hili tukio kiukweli linatia ukakasi mwingi wala hakuna mtu anamchukia wala kumuonea wivu huyo Masanja, ila vile ameongea na kuonesha vile amekua na moyo wa msamaha kwa mkewe, vilevile...
  14. C

    IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Hii issue ni kubwa kuliko walivyoiweka, inawezekana wameamua kumnyamazisha jamaa kwa sababu tofauti kabisa, ila kwa akili za wabongo tunabaki kudiscuss picha kama ilivyowekwa!! Ila Masanja ataishia pabaya kuliko anavyodhani, maana kwanza Mungu hafanyiwi maigizo akanyamaza na pili damu ya mtu...
  15. C

    Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

    Hongera sana Simba, ki ukweli mnajua mnachokifanya!!
  16. C

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Dah nilikua najiandaa nianze kuelekea katani ila ngoja niendelee kusikilizia nitapoteza muda bure... Hivi hawa watu wanakwama wapi adi leo hii hakuna kitu mkuu?
  17. C

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkuu vipi umejaribu kucheck na kwenye kata kabisa? Labda watakua wameweka kimya kimya!!
  18. C

    Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

    Pale ambapo mtu ameshiba alafu anaanza kumtukana aliepika...!!
Back
Top Bottom