Search results

  1. Nyalotsi

    Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

    Bila kusomba wanafunzi wa shule mbali mbali mkutano usingekuwa na watu. Mwambieni huyu dada Mbeya ni mji usiokuwa na miundombinu kabisa. Hakuna mpango wa ujenzi wa mji. Mitaa haipitiki. Mji unategemea bara bara moja tangu uhuru. Watakapoanza kuijenga kazi zitakuwa hazifanyiki.
  2. Nyalotsi

    Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Unaweza Muacha huyo na ukaoa mwingine na usipate mtoto kabisa na huyo mwingine. Jitahidi kuwatunza. Nunua chakula na kila kitu weka nyumbani kwao kama unahisi hela zinakuuma. Muachie hela kiasi za mboga na dharula
  3. Nyalotsi

    Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    Hawa wazanzibari ni hatari kwa maendeleo ya Tanganyika na watanganyika. Natamani ccm waelewe na kuamka. Wawapige chini na mama yao warudi kwao zanzibar
  4. Nyalotsi

    Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    Sheria zetu za ardhi hazitupi favour hata sisi wanainchi. Rais anaweza kukupora ardhi yako bila fidia muda wowote. Kabla na kunufaisha watanzania wanataka kunufaisha wageni kwanza. Kuna watu ndio maana magufuli aliwafukuza. Hakuna akili kabisa wamejaa udalali tu. Yaani mama kajaza madalali...
  5. Nyalotsi

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Yeye ndio hana uelewa. Pale bandari wameigawa bure Bora hata ingeuzwa Tujue tumepata kiasi gani. Sasa hivi hela zimeishia kwa Samia na genge lake. Wamegawa kwa mkataba usiokuwa na kikomo. Na ardhi watatupora ili wampatie mwarabu. Na bandari mpaka bubu. Na zingine ni Beach za serikali wamegawa.
  6. Nyalotsi

    Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

    Ni aibu kwa nchi kukopa bilioni 70 wakati waziri na naibu waziri wanaendesha gari za milioni 400. Ni kutokuwa na akili
  7. Nyalotsi

    Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

    Yule bonge anahangaika na majeraha sasa hivi Na sidhani kama atarudi Tena kuendesha basi tena.
  8. Nyalotsi

    Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Hakuna rahisi mbovu kama huyu. Hakuna anachojua zaidi ya kusema na hili nalo mkaliangalie. Serekale imekuwa ya kipigaji na wizi wa wazi wazi.
  9. Nyalotsi

    Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

    Akili za hawa wenzetu huwa ni za kuwaza misaada zaidi. Wana extreme mbili. Ile ya waliotumia akili wakawa matajiri sana Wanaobaki ni omba omba. Huyu maza yupo hii ya pili. Hata kama ndani kwake ana mahindi atampa mtu hayo mahindi akasage aafu yeye akamuombe ugali
  10. Nyalotsi

    Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Yeye na mbarawa ndio wahusika wakuu wa huu uchafu. Mambo ya kugeuza serikali ya ndugu zako
  11. Nyalotsi

    Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kwani huwa wana hiyo akili. Wanajua wakikupumbaza kama mwaipopo utaishia kuwa omba omba kila siku. Huwezi kujitegemea
  12. Nyalotsi

    Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Watu wanajadili maslahi ya Tanganyika kwa huruma ya kuwa aliyeuza nchi ni mwanamke au mama. That is absurd!! Na upumbafu.
  13. Nyalotsi

    Ushauri wa leo kwa kaka zangu

    Kero za ndoa is real mzee
  14. Nyalotsi

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Mbeya hakuna jiji!! Ni kiwilaya fulani kimepewa hadhi ya jiji. Ni mji wa hovyo hakuna mwingine nchini. Miundombinu hovyo Mipango miji hovyo. Ni tabu tupu. Mji mzima unategemea zaidi barabara moja tu. Huko pembeni Kuna Mashimo na shida za hatari. Ukipita soweto mitaa ambayo watu wanatakiwa...
  15. Nyalotsi

    Ruhusa kwa Madaktari Kufanya Kazi Binafsi Katika Hospitali za Umma Kutaleta Matabaka

    Msikurupuke. Nendeni Muhimbili Moi Mbeya zonal referral mkajifunze nini kinafanyika. Sio kila kitu cha kukurupukia. Vingine hamuviwezi
  16. Nyalotsi

    Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

    Hivi hizi asilimia zimeandikwa wapi? Mbona mnadanganywa kirahisi na mambo yasiyokuwepo?
  17. Nyalotsi

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Atakuwaje mke wa kwanza wakati wewe sio mume wa kwanza? Wanawake wanakuwa na ubinafsi sana. Wanataka wao wazae na kila mtu ila wewe uzae na yeye tu
Back
Top Bottom