Search results

  1. C

    Naomba kujua, tiles zipi Bora 50*50, 60*60, 40*40

    Nijuavyo mimi ni kwamba thikness ya Tiles za 60 kwa 60 ni nene kuliko 40 na 50 kwa hiyo inauwezo wa kuhimili mikiki ya kutokuvunjika(ikijengwa) kuliko nyingine.
  2. C

    Vijana wa kariakoo leo mmeniweza, nimewanyooshea mikono juu

    Kwanza huyo dogo(k/koo tunawaita Winga) ndio mlugaluga..sharti no.1...Chimbo hapelekwi mteja hata iweje.yani kuliko alione chimbo ni bora uteme kazi.sasa ki ufupi dogo aliyekupeleka chimbo tungemjua kazi hana.
  3. C

    Huu mwaka sitaki kabisa kurudia hili kosa!!!

    Mafuta ya nazi walikumbuka?
  4. C

    Nashauri serikali ipige marufuku homework kwa watoto wa shule

    Kwamba Homework ni kwa ajili ya kuwalea watoto vyema!!!!?yani tabia njema zinatengenezwa na bidii ya mzazi katika kumsimamia mtoto wake Homework?kweli!!!!!
  5. C

    Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Na hapo ndipo kiburi cha huyo unayetaka kumuacha kilipo..anajua unampenda sana mwanae.ki ufupi baba hawezi kumpenda mtoto zaidi ya mamaye,bali baba anamjali mtoto kuliko mamaye.so wewe angalia ni wapi furaha yako ilipo.
  6. C

    Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Na hapo ndipo kiburi cha huyo unayetaka kumuacha kilipo..anajua unampenda sana mwanae.ki ufupi baba hawezi kumpenda mtoto zaidi ya mamaye,bali baba anamjali mtoto kuliko mamaye.so wewe angalia ni wapi furaha yako ilipo.
  7. C

    Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

    Dah..uzi wako umenitoboa macho mkuu
  8. C

    Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Sasa mbona mwenendo uliouainisha ndio unaowaimarisha?
  9. C

    Ushauri wenu utamnusuru binti huyu dhidi yangu

    We Fanya Umchungulie na Yeye..hapo kwa wazee wa mikeka tunasema ni GG
  10. C

    Kuna tofauti ndogo sana kati ya Fiston Mayele na Didie Drogba

    Ngoja nicomment tu kwa kuwa mimi nami ni Yanga
  11. C

    Wazee wa betting nimeamua kuwasaidia, siogopi mtu

    Anachomaanisha nadhani ni ile Wao wanaochezesha hii michezo wanaona mapema kabisa kwamba timu fulani imepewa ushindi kwenye mikeka mingi so wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo ili wasipate hasara. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  12. C

    Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Ni kweli kabisa. Yani unakuta mtu unalipa kodi ya mapato TRA halafu nao halmashauri wanakuja kukutoza kodi kama Ya LESENI na SERVICE LEVY..What the Fu......!bado kuna Fire Xtinguisher nk Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  13. C

    Hivi kuna mganga anaweza kujua shida yako kabla hujamwelezea?

    Imani haina uhusiano na dawa maana hata watoto hawapendi dawa lkn wanapona.
  14. C

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Mi naona kuna shida hata kwa huyo Hakimi mwenyewe,maana kama aliandikisha mali zake zote kwa mamaake basi atakuwa anashida ya kimahusiano na yeye yani sidhani kama alikuwa anamcare huyo mpenzi wake
  15. C

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Mi nimchangiaji wa hiyari na nitaendelea kuchangia milele Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  16. C

    Laiti kama tungekua na ubabe wa kiarabu, hakuna timu ngeni ingetamani kuja kucheza Kwa Mkapa

    Yani nilipe kiingilio changu halafu ukanipigishe kelele Uwanjani!kuweni sirias basi..mbona kuna timu zinashinda ugenini?Mayowe uwanjani hayashindishi timu kama mnabisha hao mnaosema wanahanikiza kila siku wanachezea wakishiriki club bingwa Dunia. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  17. C

    Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

    Ngoja turejee na zile saba za Jumamosi halafu tutakuletea tathmini.
  18. C

    Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

    Europa Kuna Manchester na Barca usisahau hilo.
  19. C

    Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Huu mtandao ni zaidi ya Facebook,humu kuna majukwaa mbalimbali ya kujadili mada mbalimbali,sasa jukwaa hili tujadili Mambo gani zaidi ya haya!
  20. C

    Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Tatizo nikikupa Utaingiza Yote...
Back
Top Bottom