Search results

  1. L

    Car4Sale Gari aina Canter inauzwa, iko kwenye hali nzuri ina mwezi 1 tangu ifike kutoka Japan

    Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa. Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo. Gari hii nimeiagiza kutoka Japan siku za hivi karibuni takribani mwezi mmoja uliopita. DETAILS ZA GARI: JINA...
  2. L

  3. L

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Muda si mrefu hata Chelsea watatukuta na kutupita..mignolet ndicho anachotaka
  4. L

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Yangu juzi yameteremka marobota mengi ya t-shirts,kofia na bendera za chama watu wanagawiwa tu, vijana wanapewa elfu 20 kuvaa na kubeba mabango yaliyokwisha andikwa kuonyesha arusha haimtaki lowassa na lema. Pikipiki zimeshawekewa mafuta, Mimi ninazo tatu hapa mjini teyari madereva wamekwisha...
  5. L

    Niko Safarini naelekea Jimbo la Moshi Mjini (Moshi) kushiriki kampeni za CCM!

    Nipo Moshi..rudi tu swaiba..huku habari tunayoijua ni chadema tu,kura kwa jafari ndio habari ya mjini..Moshi ni chadema, chadema ni Moshi
  6. L

    Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

    Asante kwa info pilusonyo
  7. L

    Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

    No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.
  8. L

  9. L

    Yupo wapi mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali?

    Kati ya wabunge niliowakubali katika binge lililopita na bado namkubali ni huyu mbunge wa NCCR Mh. Mkosamali. Ni muda mrefu tangu bunge limeisha sijamsikia au kumuona kwenye harakati za uchaguzi..naomba nijuzwe yupo wapi, anagombea tena ubunge? Ni mmoja ya watu wanaotakiwa kurudi kwenye binge lijalo
  10. L

    Star TV should declare their interest

    Unajua nani mmiliki wa star tv?? Ukishajua nani mmiliki hutalalamika wanalolifanya.
  11. L

    Magufuli: Mafisadi sugu ndani ya CCM wamenikimbia

    Sidhani kama anaamini anachokisema..kuna sugu zaidi y chenge
  12. L

    UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    UKAWA nawaunga mkono kwa sababu zifuatazo: 1. Walisusia mchakato huu tangu mwanzo kwenye bunge la katiba..leo hii wakishiriki hata kuipigia kura ya hapana ni sawa na kula matapishi yao. 2. Hawakuipigia kura ya hapana bungeni kwanini waje kuipigia huku uraiani, huo utakuwa unafiki kisiasa. 3...
  13. L

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Hapa ungeleta mada ya uchawi ungepata watu wengi lakini hili la kutumia ubongo hakuna jinsi tunavyopenda shortkati
  14. L

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Hili jambo ni zuri sana, wenzetu kenya wanajua kutumia instituations vizuri katika kuuza mawazo yao, nitakuPM namba yangu
  15. L

    Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan

    Sipingani na jeshi kutoa heshima kwa amri jeshi mkuu lakini katika sikukuu zote za kitaifa,uhuru, muungano na haya mapinduzi, matukio huwa yanakuwa yaleyale, rais anakagua gwaride, jeshi linapita kwa mwendo wa haraka na polepole, halaiki ya wanafunzi ambayo hata wakati mwingine haina ubunifu...
  16. L

    Mkopo 3m unahitajika Arusha

    Mkopo wa milioni tatu (3mln) unahitajika Arusha, security ya mkopo ni kiwanja cha robo eka na riba tutaelewana tu.
  17. L

    Msaada jinsi ya kufanya calculation ya valuation ya nyumba

    Nyumba ipo sokoni..valuation ni ya kuuzia, nataka kuifanya, ni zamani sana niliifanya, nikijua jinsi ya kuanza tu nitajua jinsi ya kumalizia..
  18. L

    Msaada jinsi ya kufanya calculation ya valuation ya nyumba

    Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar wanisaidie.
Back
Top Bottom