Search results

  1. M

    Nimeoa single mama

    Kweli mtalaka hatongozwi ila hamna namna, fuata moyo wako maana hata fresh kama hana misimamo nae anamegwa
  2. M

    MSAADA: Hilda Phoya wa Azam TV ameolewa?

    Kumekuchaa kumekuchaa
  3. M

    Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Wewe ni mnyonge sana, kwa tabia hizo huwezi toboa
  4. M

    Mwigulu kuwa makini. Tozo zitakuharibia malengo ya kuwa Rais

    Yani Mwigulu awe rais? Acheni utani aisee
  5. M

    Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

    Ingia website TRA ingiza details za gari utapata ushuru elekezi
  6. M

    Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

    Njoo chumbani tuyajenge.
  7. M

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Wewe ni mpuuzi na huenda ndo huyo mwanafunzi mwenyewe. Fimbo 20 kidogo kwa katoto ka F.3 kukutwa ama kuhisiwa kuwa na simu.
  8. M

    Hii pisi mazee ni hatari

    Sana, mitoto mingine ni hasara tupu
  9. M

    Dkt. Mwigulu: Kiswahili kitumike katika usaili wa Watumishi Serikalini

    Uamuzi mbovu kuusikia toka nizaliwe.
  10. M

    Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

    Punguza kula vyakula mchanganyiko mchanganyiko. Utanishukuru baadae. Ila harufu normally inazuiwa na maji yanayobaki chooni. Unless kama hiyo p-shape haiko vizuri, ila harufu ya kwenye bomba haipaswi kuja ndani ila unaposhusha mabomu makali hilo halikwepeki
  11. M

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Hongera sana. Hakika umekuwa mfano bora unaoishi. Mungu asimame katika maisha ya familia yako
  12. M

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Malizia story hii basi, imetulia sana
  13. M

    Nimekutana na mtu anauza manati

    Dawa ya kunguru hiyo we mtoto wa mama
  14. M

    Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

    Hamna noma yoyote hapo.
  15. M

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Huo mshahara haurusu kukopa kiasi kikubwa hivyo. Haoewezekani
  16. M

    Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

    Agrrrr, mi nikajua kuna kitu cha maana kumbe, mwee.
Back
Top Bottom