Search results

  1. K

    Majimbo haya yapo hoi

    Kweli Mungu amekuumba tofauti,yaani akili yako inaende kinyume na kwako umaskini ndiyo maendeleo,una mtazamo Mufilisi
  2. K

    Kuitwa kwenye usaili UDOM

    watu washalipwa na subsistence allowances wewe unasubiri ajira?wenzako walikula interview jumamosi na jumapili then jumatatu kazini,pole sana
  3. K

    Kulikoni UDOM?

    jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?
  4. K

    why this is happening in National Audit

    wana jf kama kuna mtu ana taarifa kuhusu usaili wa nao uliofanyika tar 27 july 2011 atujuze kinachoendelea au ndo uchakachuaji
  5. K

    TRA...haya yana ukweli?

    kwani mwenye njaa na aliyeshiba yupi anaposibility kubwa ya kuiba?if then its true they have to thing twice
  6. K

    jamani,jamani,jamani kulikoni national audit

    kama kuna mdau anajua habari yoyote kuhusu usaili tuliofanya wa national audit matokeo nyake wanatoa lini?
  7. K

    Nisaidieni nifanye biashara gani? Nina mtaji wa 3,000,000/=, nipo Himo-Moshi

    nakushauri kama upo unaweza pata sehemu ya biashara nzuri uza vipodozi maana vinalipa sana
  8. K

    Tume ya ajira tanzania

    kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.
  9. K

    kwa mifumo hii sisi graduates ambao hatuna experience tutaishije?

    nashukuru kwa ushauri wako mdau Nawkilisha
  10. K

    kwa mifumo hii sisi graduates ambao hatuna experience tutaishije?

    wadau ambao tunatafuta kazi na kutegemea ajira na ambao hatuna uzoefu wa kazi i.e experience tushirikiane kuishinikiza serikali yetu ili ikomae na makampuni yote ili yatoe vipengele vya uzoefu kazinia au mnasemaje wadau wenzangu?
  11. K

    ugumu wa ajira Tanzania?

    hebu wadau ntapata kazi wapi kama accountant?
Back
Top Bottom