Search results

  1. Jasnira

    Ni kwanini watu huumia wanapokuona umefanikiwa?

    Wana roho tu za kimaskini
  2. Jasnira

    Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

    Ukinitumia msg pm imekula kwako huwaga sijishughulishi na upuuzi labda iwe ni business nimeona nimeipenda nikuulize lakini sio jitu linatoka huko eti hi.. mazoea sitaki dm yangu..
  3. Jasnira

    Unaweza kumuachia mchumba simu yako kwa siku tatu?

    Ndio kwani sinaga makando kando ya kipuuzi.. niko straight forward najua nataka nini. Nimeamua kuwa na yeye end of the story...
  4. Jasnira

    Ni aibu sana mke, mume na watoto familia moja wote kuwa facebook

    Kila mtu ana uhuru wa kupata taarifa inategemea mnatumiaje mitandao. Kwangu si jambo baya.
  5. Jasnira

    Wanaume: Je mnachukuliaje hali ya wake zenu kupewa lifti?

    Si umnunulie hata used swift ka million 5... shida iko wapi yaani apate shida ya usafiri na lift ipo we wa wapi
  6. Jasnira

    Wanaume: Je mnachukuliaje hali ya wake zenu kupewa lifti?

    Si umnunulie hata used swift ka million 5... shida iko wapi yaani apate shida ya usafiri na lift ipo we wa wapi
  7. Jasnira

    Hisa ni nini?

    Hizo issue ni kama kamali so kuna kula na kupuswa.. so take care. Design kama una bet niko na 8m nahitaji kuziweka mahali zinizalishie hata kwa one year lakini sio kwenye hisa...any idea nipeleke wapi?
  8. Jasnira

    Fastjet amerudisha Airbus zake, kulikoni?

    Wamewaondoa lini? Mbona nimesafiri nao jumapili hii ya 19
  9. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Natafuta jina lake nitawaambia ngoja Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
  10. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kama nakuona utakavyonukia..shukrani
  11. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ndio wanauza kwa kupima zote brand kubwa kubwa. Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
  12. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ndio halafu dove ni adimu hasa mikoani hivyo nikijaga dar ndio nanunua ya kuja nayo...
  13. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Nadhani zitakuwepo jaribu kutafuta. Ila dove zinanukia vizuri sana nazo kuliko nivea.
  14. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Tafuta ambazo hazina alcohol hasa nimeona za Dove... Zenye alcohol zinaongeza weusi makwapani na mambo kama cancer ya maziwa kwa wanawake.
  15. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Katika kitu nimeshindwa ni kuchepuka siwezi wala sijawahi bahati mbaya kunijia akilini..
  16. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ki ukweli wanawake tuna husudu sana mkaka anayenukia vizuri hata heshima inakuwepo. Usifanye mchezo una mkiss mtu shingoni unasikia manukato mazuri really ina ongeza mood ya show sana... Naweza kukun"gata shingo au hata akikumbatia wadada wanaelewa how it feels..
  17. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ninapokuwa down nikisikia harufu tu basi napata feelings yupo around... Pia inanifanya nione kama yuko karibu nami kupenda kubaya [emoji23]
  18. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Pitia pale utakuja kunishukuru hapa wana karibu brand zote unazojua wewe... Zinanukia vizuri sana hadi mtu anaweza kuuliza umepaka perfume gani. Bf nae ni mpenzi sana wa perfume ngoja siku nikionana nae nitaangalia pefrume alizonazo nitawatumia majina.
  19. Jasnira

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Lazima yawe ya bei bei kidogo hizi cheap perfume nyingi ni mtihani. Mind me tunaishi na bf mbali mbali lakini huwa nikiondoka nachukua kitambaa changu cha mkononi na kipulizia perfume yake ambayo hata nikifua haitoki na miminia kweli na huwa naweka chini ya mto ninao lalia. Hadi siku tukionana...
Back
Top Bottom