Search results

  1. J

    Msaada wa kuunganishwa na super sports.

    Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo utaratibu wa kuunganishiwa chanels za super sports kwani mi naish kijijini nataka kufanya biasha ya kuonesha michezo ahsanteni
  2. J

    Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

    Yangu macho na masikio maana inji hii duu....!!!
  3. J

    Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

    <br /> <br /> Ni kweli jimbo hilo linaenda CCM sababu mikakati ya wizi wa wa kuiba kura imeshakamilika.!
  4. J

    NMB mobile call center 15166 vipi?

    Sijawah kuwapata hata sku 1 kwanza nikipiga naambiwa no. haipo.!
  5. J

    kwanini shule za private wanafaulu sana?

    Tofauti ni kubwa sana, kwanza walimu shule binafisi wapo wa kutosha kwani wanalipwa vzr ,wakati serikalini unakuta shule ina walimu 3 f1-1v wengi wao wanakimbilia Privt. Pia privt wanamchujo unaowasukuma wanafunzi kusoma kwa bidii kuogopa kuchujwa. Uhuru mkubwa sana wanafunzi wa shule za...
  6. J

    Umesoma majengo sec 1988-2010?

    Tupo pamoja wakuu nimemaliza 6 mwaka 2006, ninawakumbuka sana walimu hawa Br Lyimo mkuu wa shule, Mr. Makundi, Mr. Maghembe, Mr.Mlay, Kichawele, Lyiatuu, Mr. James, Mr. Minja Mr. Sendoro (RIP)etc.
  7. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Jamani tukiacha ushabiki wa vyama mimi binafisi simsulubu LOWASA ila Chama chake HAKUNA ALIYE MSAFI ndani ya CCM hivyo LOWASA kuwa fisadi ni kawada ya Viongozi wa CCM, maana yake ni kwamba hafai na wengine woote walioko CCM.
  8. J

  9. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hivi kweli watanzania watakubali kula matapishi yao au utafanyika wizi wa mchana kama ule uliofanywa mwaka jana na mzee Lewisi Makame na wenzake?
  10. J

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Lowasa ndio ila ameshachafuka tayari.
  11. J

    Hellow Jf

    Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
  12. J

    Hellow Jf

    Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
Back
Top Bottom