Search results

  1. USTAADHI

    Heche Suguta wa NEMC arejeshwa kazini!

    yule jamaa anaumwa sana kuona uharibifu wa mazingira akienda kwenye viwanda mambo utayasikia hadharani... kama wachina ukiwambia jamaa anakuja huwa wanaogopa kama nini niliwahi kuingia kiwanda Fulani nikawambia jamaa akifika hapa vipi walifurahi sana vibarua wakisema hapa akifika husimamia hata...
  2. USTAADHI

    Heche Suguta wa NEMC arejeshwa kazini!

    kama Kweli huyu jamaa alifanya kazi NEMC miaka kama mitano tu sasa hata mtoto anaijua NEMC inaahughulika na nini na kuna idara nyingi sana za serikali ambazo zimelala ...Leo ilikuwa ni makosa sana kuokoteza majungu na kumuondoa badala ya kumuongeza nguvu ...
  3. USTAADHI

    Magufuli ashindwa kuwanadi wagombea ubunge TARIME

    MGOMBEA urais wa CCM leo ametua katika wilaya ya TARIME na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa UBUNGE kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la TARIME VIJIJINI analogombea ndugu CHRISTOPHER RYOBA KANGOYE hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa...
  4. USTAADHI

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    mpaka sasa tunavyoongea ni kwamba waliouwa wameachwa wanaokamatwa ni wafuasi wa chadema
  5. USTAADHI

    ITV huu sasa ni upendeleo wa wazi wazi kwenye habari zenu

    ulitaka lowassa afanye nini ? masaburi ni shida
  6. USTAADHI

    Polisi wasipokuwa "makini" wataharibu amani ya nchi

    una haki ya kuropoka Kwa sababu upumbavu wako ni mithili aliyosema mkapa
  7. USTAADHI

    Polisi wasipokuwa "makini" wataharibu amani ya nchi

    kubwa zaidi ni kuwa polisi watatuletea machafuko Kwa Kweli mimi sielewi Kwa nini waafrika huwa tunakuwa na ujinga sana wa kutotaka kupisha kwenye nafasi zetu kistaarabu tunataka kuleta machafuko yasio na msingi
  8. USTAADHI

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA maeneo ya njoro, Moshi Mjini!

    mh Mbowe ni mwanzo mwisho katika upinzani
  9. USTAADHI

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    umejitambulisha mapemA sioni haja ya wewe kupata majibu ya maswali uliyotuma kwa mantiki ya kujipima uwezo wa kejeli chokonozi subiri siku CHAMA chako cha AGIZO LA CHAMA TAWALA -ACT kikipata angalau DIWANI ndio muanze kuhoji wapi Chadema imewahi kukosea pili undeni ukawa yenu n ccm msisumbuke...
  10. USTAADHI

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    anajaribu kuimba
  11. USTAADHI

    Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    ninyi muachame tu ccm mwaka huu mtalia
  12. USTAADHI

    Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    hongera mh rais 2015 tunakuepmda sana
  13. USTAADHI

    Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

    fuatilia kwanza Slaa alichoenda kufanya na anachoenda kufanya rais wako kila siku
  14. USTAADHI

    Mbona jitihada anazotifanya sasa kiongozi mkuu Zitto, hatukuziona wakati akiwa CHADEMA

    zitto ni ------- iko siku ukweli utakua wazi, na hata ukiangalia ccm wanavyomshangilia utajua kwamba kuna jambo, nilikua napitia twitter za huko nyuma sijaona hata siku moja ametweet kuhusu chadema lakini sasa kila dakika picha twitter kuhusu act,
  15. USTAADHI

    UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

    mna kelele sana nyie ccm b subirirni uchaguzi alafu mtajua kufungua akaunti nyingi kwenye jf alafu unaanzisha mada na kuchangia mwenyewe sio kura. mtapoteana mpaka mtashangaa
  16. USTAADHI

    Zitto Akiri Bado Anaipenda CHADEMA Japo Wamemfukuza

    msaliti ni msaliti haaminiki na chama cha rebals na rebals hawaaaminiani iko siku watapinduana
  17. USTAADHI

    ITV na Azam Tv kurusha LIVE uzinduzi wa ACT-Wazalendo

    tafadhali tujurisheni chanzo cha mapato ya kufanya yote haya maana mlisema chadema ilikua inafanya mambo ya pesa siri sasa nyie tuelezeni mmetoa wapi pesa za kuafanya haya? nafikiri Zitto kama anavyojiita au anavyotaka kuaminisha watu kwamba yeye ni mzalendo na muwazi atafanya hivyo, kama...
  18. USTAADHI

    Tarime wamuomba Heche kugombea ubunge

    binafsi sina namna ya kuzuia wananchi wasiseme lolote lakini nashauri chama chao kiwe makini sana na CCM kwa sasa CCM wanachopanga ni namna ya kugawa wagombea ile TARIME inamuhitaji mtu kama HECHE ni kijana anayejituma kwa kweli
  19. USTAADHI

    Wenje na Heche washikiliwa na polisi

    Ndugu wanabodi taarifa za uhakika zinasema mbunge wa NYAMAGANA EZEKIEL WENJE na aliyekuwa mwenyekiti wa vijana CHADEMA Taifa ndugu JOHN HECHE wanashikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa kosa la UCHOCHEZI na kumtukana mkuu wa mkoa wa Mwanza Ndugu MAGESSA Mulongo. Mpaka sasa hawajatoka na...
  20. USTAADHI

    Heche aliyekuwa BAVICHA bado ni moto wa kuotea mbali

    tangu 2007 huyu dogo yuko majukwaani lazima aoneshe wenzake njia ya kwenda nayo kwa kweli HECHE ni wa mfano
Back
Top Bottom