Search results

  1. M

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Baya lisilo kudhuru ni Jema lisilo na faida by Fid Q
  2. M

    Nzi,Mbwa,Mbu... Kwanini si Nnzi,Mmbwa,Mmbu n.k?

    kimsingi katika lugha ya kiswahili kuna baadhi ya sauti huweza kutumika katika matamshi lakin sauti hizo hudondoshwa katika maandishi kwasababu za msingi. sababu mojawapo ni kwamba katika lugha ya kiswahili NADHARI mbili zinapofuatana na kisha kufuatiwa na KONSONATI basi NADHALI moja lazima...
  3. M

    Nzi,Mbwa,Mbu... Kwanini si Nnzi,Mmbwa,Mmbu n.k?

    kimsingi katika lugha ya kiswahili kuna baadhi ya sauti huweza kuaaikika katika matamshi lakin sauti hizo hudondoshwa katika maandishi kwasababu za msingi. sababu mojawapo ni kwamba katika lugha ya kiswahili NADHARI mbili zinapofuatana na kisha kufuatiwa na KONSONATI basi NADHALI moja lazima...
  4. M

    waliosoma bomani sec miaka ya 1999 mpaka 2003

    Naam ndugu namkumbuka Mwanankina, Pasific, Majura, Mbekenga, Urasa
  5. M

    Kiswahili Hakijitoshelezi. Amin hivyo

    Dah kwanza naomba kutoa sifa ambazo zinatakiwa ili lugha iweze kuwa maarufu ni lazima itimize haya yafuatayo 1. lazima iw na wazungumzaji wengi wazawa na wasiyo wazawa 2. lazima iwe imeenea sehemu kubwa sana (imechukua eneo kubwa kijiografia) 3. lazima itosheleze mahitaji ya...
  6. M

    LAPTOP au PC ni lugha ya......

    Kidadavuzi pakato
  7. M

    Kutongoza ni tusi au?

    kutongoza si tusi bali kulingana na mabadiliko ya lugha kisemantiki yanayohusiana na uhamishaji maana ya msingi linaonekana kuwa ni tusi, kwakuwa ukichunguza historia ya lugha ya kiswahili utaona neno kutongoza lilikuwa na maana ya kushawishi. pia yapo maneno mengine mengine mengi ambayo pia...
  8. M

    WATALAM WA KISWAHILI TUSAIDIANE KUONESHA MUUNDO NDANI WA TUNGO Hizi

    1) Kala chafu 2) Hali halali
  9. M

    naombeni tusaidiane kujibu swali hili la kiswahili

    sentensi ni tungo lakini si kila tungo ni sentensi, jadili
  10. M

    Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni???

    JAMAN ACHENI USHABIKI KWENYE SWALA LA MSINGI KAMA HILI KWANI NI KWELI MAJINA HAYAJATOKA NA MPAKA SASA HATUJAJUWA TATIZO NI NINI HIVYO TUSIKURUPUKE KUPELEKA LAWAMA KWA SABABU HATUJUI TATIZO LIKO WAPI NA NANI WAKULAUMIWA CHA MSINGI TUWAOMBE WAHUSIKA (WAHITIMU) WAJARIBU KULIFUATILIA SWALA HILI KWA...
  11. M

    Walimu kuchukulia mishahara dirishani mwezi january.

    Ebwana watanzania tuwe serious na mambo muhimu yahusuyo nchi yetu coz mambo yanapoharibika sisi huwa wa kwanza kulalamika kuwa kuna ufisadi sasa leo wanapoamua kuchukua hatua za msingi kama hii ya kuhakiki ili pesa za walipa kodi zisipotee eti mnasema tunarudi nyuma hivi watanzania mfanyiwe...
  12. M

    Iko wapi haki ya wana-udom

    Oyo niaje mnatuletea mipasho kwenye mambo ya msingi ebu ongeeni points za msingi,by da way ambao hamjapata pesa ingieni mtambon make suluhisho ni kugoma kwa kwenda mbele
  13. M

    Nachanganyikiwa na watoto wana jf

    asante mungu, kwanza mi nna mawazo kama yako, pili nnauwezo wa kuzaa, tatu niko tayali kukuzalisha na mwisho nipe mawasiliano yako ili utekelezaji uanze
  14. M

    Je hii inawezekana au ni uzushi mtupu?

    Eti kuna habari kwamba watu wakiishi katika mahusiano ya kimapenzi muda mrefu sana huanza kufanana katika mambo mbalimbali kam vile sura na tabia je ni kweli au uzushi?. karibuni sana wanajamii tujadili ili tupate ukweli
  15. M

    Posho ya chakula na malazi ya wanavyuo imeongezwa migomo itaisha vyuoni?

    pongezi kwa wizara ya elimu kwa kuongeza posho za wanafunzi lakini napenda pia kuilamu kwani kiwango hicho bado hakitoshi kwani gharama za maisha zimepanda vyuba kwa sisi tunaoishi of compus vina bei ya juu, hivyo mi nahisi migomo haita isha mpaka pale haki itakapo patikana, pia kwa upande...
  16. M

    uwakilishi bungeni

    HI ndugu zangu wa jamiiforum, kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunikutanisha nanyi kwani inaaminika kuwa jamiiforum ni mtandao uliojaa wasomi na watu wenye upeo mkubwa wa kufikili, kwa upande mwingine naomba niweze kutoa maoni yangu juu yavyuo vya elimu ya juu nchini tanzania kuwa na...
Back
Top Bottom