Search results

  1. N

    Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

    Sio poa kulingana na maadili ye2 watanzania,WEMA ni mzuri ila mambo yake mengine kama hayo ya kukaa uchu na vivazi vya kuexpose mwili wake vinanikera,vaa kwa kujisitiri maeneo mengine umwonyeshe Diamond mkiwa wote getho..
  2. N

    Kwa wanaume tu....!

    Nadhani inatokana na pyschological prblm m2 anakuwa amehadhirika kisaikolojia so akiona mwanamke amekaa vibaya anavutiawa kuchabo,ni sawa na aliyezoea kufanya mastarbation akiona sabuni anaerect!so seek pyschological treatment..
  3. N

    Interview UDOM

    Kwa kweli kama baba hamwamini mwanae sijuhi anataka nani hamwamini!na kumpa ajira!cwaelewi mm pia najamaa zangu wametoswa na mm pia ila 2pambane 2takuja kuwa juu kuliko hao wachaga na wahaya wanaobebana..Let's b optimistic gays..
  4. N

    Nauliza vipi kazi za udom..... Kimeeleweka kweli?

    Nchi hii watoto wa wakulima tumeula wa chuya!ni Pinda anayejiita mtoto wa mkulima mwenzetu ndiye aliyefanikiwa kuwa juu toka coz alisoma enzi za mwl ingekua enzi hizi ingekuwa ngumu,mshkonde mliotoswa 2po wengi 2mwombe Mungu ipo cku 2takuwa juu bila hata kuwa na kadi za ssmm!
  5. N

    Posho ya chakula na malazi ya wanavyuo imeongezwa migomo itaisha vyuoni?

    Kwa kweli maisha yamepanda ila angalau wamejitahidi kupandisha ila waboreshe na taratibu za bodi ya mkopo ili mkopo iwahi wanavyuo watulie wasome 2pate magraduates bora na sio bora graduates!!
  6. N

    UDOM vs UDSM

    Ishu sio chuo gani ila ni m2 wa aina gani na uwezo gani!vyuo siku hiz vipo ving Tz na vinatoa wa2 critical na competant wanaowazidi so acheni kujiona bora coz ur frm Udom,Udsm 2nakutana nao ktk interviews mbona 2nawagaragaza na 2mesoma vyuo vidogo vya private!
  7. N

    Uzembe kwa Wabunge wa CHADEMA 2010-2015

    Nadhani sio uzembe ila ni staili yao coz wa2 hawafanani!cha kuangalia ni uwezo wa kuwasilisha hoja za msingi na kutetea maslahi ya taifa na sio kuwa na makabrasha,hata hivyo document na evidence zao zipo ktk softcopy sio kbeba makaratasi kama 2po zama za kina Karl Max.
Back
Top Bottom