Search results

  1. K

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Jamani naomba kama unauweleo na ili jambo la urubani sio lazima uchangie kama aulewi, watu tumesoma vyuo ivyo ivyo walivyo soma hao hao marubani wa vasco dagama sasa tunacho kiandika tunakielewa, mtu akiitwa rubani inamaanisha ni rubani tofauti ni uzoefu tu lkn utapataje uzoefu na una kazi kwani...
  2. K

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Nini maana ya uwekezaji,Ni lazima kutoa ajira kwa watanzania.kama unafungua kampuni na kujaza foreigners,na kuchukua faida nchini kwako,basi huyo mwekezaji HATUFAI hata kidogo!
  3. K

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Sheria ya kazi,huwezi kuajiri Foreigner kwa kampuni iliosajiliwa Tz.Labda tu kama hakuna mtanzania anayeweza kushika nafasi hiyo.Na hata ukiajiri Foreigner lazima ufanye train kwa local Man ili aje kurithi nafasi hiyo,baada ya contract kuisha.Haijalishi kama kampuni ni ya Serekali au mtu binafsi.
  4. K

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Serekali haiwalindi raia wake,sasa hiyo maisha bora kwa kila mtanzania itakujaje!
  5. K

    Marubani Watanzania Waliotoka Shuleni Waandaa maandamano.

    Inasikitisha sana kuona Serikali yetu inavyowapa wazungu first priority.Wazungu wanatoka kwao wanakimbilia Tz kupata kazi,wakati wenyeji wanapigwa danadana.Ni kweli marubani wa kitanzania sio wengi,kwa sababu kusomea ni ghali sana,karibu mil 80.Wapo waliojitahidi kujisomesha kwa kupitia...
  6. K

    Kwa spidi hii Rwanda watatuacha

    Achana na mambo ya peace,ongea facts za development,hata ulaya walipigana mavita kibao,wako wapi hii leo.Think think think ...
  7. K

    nchi ya Giza...

    Hivi kuna haja gani ya Amani kama maisha yapo kama ya Tumbili.Nchi ambazo zimepigana vita mpaka majuzi,kimaendeleo zimeshatupiga bao.e.g Rwanda.Tena hadi ela yao ina thanani kuliko madafu yetu.Huku ni kulogwa,ccm walijisahau sana,ni kunenepesha vitambi vyao.Inabidi tuamke...
Back
Top Bottom