Search results

  1. mtoto wa mfugaj

    !!!!!!!!!!!!????????????

    inaonekana ana siha njema tu tatizo matunzo,ustawi wa jamii lishughulikieni na hili sio kila siku mambo ya women empowerment
  2. mtoto wa mfugaj

    Matajiri wa Tanzania hawa hapa!!!

    haya bwana sms delivered
  3. mtoto wa mfugaj

    ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    vioo vipo ila hawajioni,urembo mwingine ni kero kwa watazamaji
  4. mtoto wa mfugaj

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    mnemipa mtazamo mwingine ngoja niendelee kutafakari kiundani hili swala
  5. mtoto wa mfugaj

    Hata kama ni mchina jamani hii balaa sasa

    tobaaaaaaaaaah
  6. mtoto wa mfugaj

    Ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Mwakyembe ni ule ule alioupata hayati Mwalimu Nyerere

    ama kweli ukishangaa ya musa utastaajabu ya firauni
  7. mtoto wa mfugaj

    11 reasons why many girls are still single

    1. The nice men are ugly. 2. The handsome men are not nice. 3. The handsome and nice men are Gay. 4. The handsome, nice and heterosexual men are married. 5. The men who are not so handsome, but are nice men,have no money. 6. The men who are not so handsome, but are nice men with money...
  8. mtoto wa mfugaj

    Hatari kubwa!

    jamaa anapenda vya bure,amekoma, tehe tehe tehe......
  9. mtoto wa mfugaj

    Kulikoni: Reginald Mengi kuwa kimya siku hizi??

    wabongo bwana uwe kimya wanachonga uongee sana wanachonga,sasa ukimya wake unawahusu nini kila cku sio lazima aonekane kwenye vyombo vya habari.kila mtu ajali ya kwake yanayomletea maendeleo vingine si vya lazima.habari ndio hiyo
  10. mtoto wa mfugaj

    Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

    wazungu walimuona huyu ndio maana wakatuita black people
  11. mtoto wa mfugaj

    Hilii la ajabu...

    dunia haiishiwi vituko
  12. mtoto wa mfugaj

    Serikali sasa taabani, wanafunzi vyuo vikuu kutolipwa pesa zao.

    hatuna serikali tanzania tuna genge la mafisadi ambao wamepeana uongozi ili mwenye kusafiri kila siku asafiri na mwenye kula pesa za wananchi ale tu.kiukweli zamani nilikua nasikia fahari sana kua mtanzania ila sasa hivi hali ni tofauti kabisa
  13. mtoto wa mfugaj

    Condom zilizoingizwa nchini Hazifai Kukinga ukimwi

    this is a serious accusation u better have some serious evidence.take note of dat
  14. mtoto wa mfugaj

    MATOKEO FORM IV - SEMINARY...Something have to be done

    kweli mwanzo mgumu.tuwape muda kwani ata mbuyu ulianza kama mchicha
  15. mtoto wa mfugaj

    Beware of unknown number

    Unknown No.1 Hi,Do u have a boyfriend? Girl:Yes.Who are you? It's your dad, be home this weekend, and we will talk! Unknown No.2 Hi do you have a boyfriend? Girl:Not a chance,who are you anyway? It's your bf,sucks to know that you are not proud to be with me and be your bf:(...
  16. mtoto wa mfugaj

    Mwenyenyumba!!

    inabidi utulipe fidia maana tulitarajia kucheka tumeishia kununa
  17. mtoto wa mfugaj

    Huu sasa siyo usanii ni ulimbukeni

    inaonekana unamjua kiundani!!!
  18. mtoto wa mfugaj

    Halima Dendegu: Mkuu wa wilaya nne

    wakuu wa wilaya na mikoa ni wateuliwa wa raisi hakuna kigezo chochote kinachotumika ili mradi ajue kusoma na kuandika tu.nafasi hazitangazwi raisi akijisikia tu anateua yeyote anayemuona yeye anamfaa,ni vyeo vya kisiasa zaidi vinavyolenga kuendeleza chama.nadhani katika mapendekezo ya katiba...
Back
Top Bottom