Search results

  1. B

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM(NEC) imeridhia ombi la Ndg. Abdulrahman Kinana kustaafu wadhifa wa Katibu Mkuu wa chama

    Ndg yangu Nape najua una uchungu sana na Ccm uliyoipigania Kosa lenu/lako ni chuki mliyokuwa mumeibeba muda mrefu na vinyongo vya ajabu kwa bahati nzuri unajua rafu zote na hira zako Sasa unajuta, bila unafiki hukumpenda Magufuli na bado humpendi Usipokuwa makini 2020 utasaulika kabisa labda...
  2. B

    Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

    Mimi ninao uwezo tena mkubwa Tatizo sijapata nafasi ya kuonekana ila uwezo ninao Najuhakikishia ilo
  3. B

    Askofu Dr Benson Bagonza: Hatuna duka linalouza hekima ukiwa mwizi ujifunze na kukimbia

    Huu ujumbe ni mwiba kwelikweli kama si msumari w bati basi wa inch 4 wapendwa
  4. B

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Majaji 10, Naibu DPP, Naibu DAG, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake

    Wengine wanaamka vizri jmani Na mvua yote hii mtu anaamkia ofisi yenye kiyoyozi kesho Hapa kazi tu
  5. B

    Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

    Walimdharau mno Kikwete Sasa wamepata mbabe mwenzao Kwahiyo hapo ngoma ni droo Kipindi mjue ni halftime sasa sijui itakuwaje full time
  6. B

    Rais Magufuli anatarajiwa kuipokea ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada uwanja wa ndege(JNIA)

    Hata mimi ndo ningekuwa rais Ningekwenda mwenyewe kuzipokea Rais ni taasisi Anajua anachofanya Tumvumilie
  7. B

    Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

    Si waungwana ila wamedhibitiwa kikamilifu na vilivyo Halafu wanasaidiwa kutoka siasa za kiharakati kwenda siasa za kistaarabu
  8. B

    Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Nimeamua kuulinganisha waraka huu na ule wa mwandishi mstaafu toka Iringa *nimebaki kuchanganyikiwa*
  9. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Kwa kifupi sana Baba yake alikuwa ni moja ya wazee aliyekuwa na uwezo Kwa miaka hiyo kijijini Baba yake alijenga nyumba nzuri y'a bati Alikuwa na mitumbwi na nyavu za kutosha Nasisitiza namfahamu na hayo ni majina yake halali
  10. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Fundi25!kwanini awe marehemu?
  11. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Umusolopogasi watu humu jf ni watulivu sana Tulia kijana Alikuwa mchezaji mzuri Sana wakati tukicheza mpira(sembo) Baadaye Kama sikosei alikwenda Kwan marehemu Kaka yake hukoTabora Naishia hapo usinitafute tena
  12. B

    Zambian former Vice President, Nevers Mumba sentenced to 3 months imprisonment

    Jamani mnisamehe Simpendi Nape Ni mnafiki kupitiliza Ngoja ale matapishi yake Mbwembwe zote mfukoni
  13. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Mange Kimambi hamjui mtu huyu
  14. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Majina ndo hayo Hajaiba jina la mtu Namfaham vizuri Ni kada mwaminifu wa ccm
  15. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Alibwagwa na Kangi Lugola Kura za maoni Musiba ni jina la babu yake mzaa baba Crispian atakuwa alilitumia wakati akijiendeleza kitaaluma
  16. B

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Jina lake lililozoeleka nyumbani kwao kijijini ni MAAGI baba yake ni marehemu MULAGA mama yake alifariki mwaka Jana anaitwa NYAMAAGI kaka yake mmoja alikuwa anaitwa MINYANYA naye ni marehemu
  17. B

    Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

    UK ni moja ya marais wenye utu, busara na hekima Mfatilie toka aingie madarakani Kenya msifanye makosa pliz
  18. B

    Ratiba ya uzinduzi wa hostel Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kesho

    Niseme kwamba Nampongeza mh Rais kwa kazi nzuri anayoifanya Kwa nia nzuri aliyonayo kwa nchi yetu Kwa mawazo mazuri ya kuendelea kuisimamia nchi yetu Pale panapohitaji pongezi tufanye hivyo Nashauri kama ataweza arekebishe baadhi ya mambo kama ifuatavyo 1.ashughulikie tatizo la ajira...
  19. B

    Nape Avuna front page za magazeti ambazo zilitaka kuzimwa kwa Bongo movie

    Hata kama angeandikwa kila page ya kila gazeti Ni hivi ya Nape yameshaisha Ameshaliwa kichwa/ameshakatwa mkia 2020 Magufuli atashinda kwa wepesi mno Hivi Nape ni nani? Aende zake huko Mtamaaa
Back
Top Bottom