Search results

  1. C

    Hivi, Makamu wa Rais, Ghalib Bilal yupo?

    Jamaa yupo, ila anamipaka kwenye kaz. Kama lile la kumpa sapot JK kwenye ndoa ikulu.! Ila co kumchomoa JAIRO
  2. C

    Tsh. 7500/- KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU, NI SAWA?

    Jana bajeti ya wizara ya elimu imewasilishwa mjengon! Wizara imeongeza kias cha sh. 2500/- kwa siku, kama pesa ya kujikimu na sasa ujumla wa pesa hyo kuwa Tsh.7500/- per day! Je serikal imezingatia uhalisia kwa wale wanaoish off campus? Au ndo ulegelege?
  3. C

    Wana CCM niambieni, ni eneo gani mnaweza kujivuna kuwa mnafanya vizuri?

    Wanafanya vzur kwenye MIPASHO pia, juz nilimchek mr. SIX akiWAPASHA wapinzan kuwa ni wanafiki na wasalit! Amesahau yeye usalit wake kwa CCJ?!
  4. C

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    umetafakar? 2fanye nin sis kama vjana? Wakati mwingne nivyema kupeana ushaur, kuliko kuendelea kuyapigia kelele magamba yasio ckia!
  5. C

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    thnx 4 newz, hao takukuru labda na wao wanahitaji kujivua magamba maana ndo imekuwa style nw dayz. Tayar kwa kuona na kusikia ni waz kunaushahid juu ya barua za kuomba 50mil kwa taasis za wizara ili kulainisha wabunge. Bt pengne hao takukuru wanaweza kuja na hoja kuwa 'hakuna ushahid wa moja kwa...
  6. C

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    asante kwa kunirekebisha, ila waliokuwa TANU si ndo hao waanzilishi wa CCM?
  7. C

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    CCM imeshindwa kuwa na mikakati endelevu ndani ya miaka 50 kuhusu UMEME, wataweza kwa wiki 3? Hizi dharula ndio zinawafaidisha wajanja wachache kufanya UFISADI. Huu ni wakati muafaka kwa watanzania wazalendo kufanya maamuzi. TAFAKARI
  8. C

    hodi! Hodi! Hodiiii.

    Mar'haba, karibu sana!
  9. C

    Habari zenu waugwana

    Karibu ndugu
  10. C

    Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

    Huyo KIBONDE na bosi wake RUGE, wote vibaraka wa JK na mwanae 'RIDHIWAN'!
  11. C

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    Jaman 2sidanganyane, cut off point ya st. Joseph kwa engineering ni 4.5 na Udsm kwa engineering ni 2.5. Ila st. Joseph wanautaratibu wa kupokea wa2 wenye 2.0, thn wanasoma coz maalum ya miez mi3, unapo faulu ndo unaingia main coz ya engineering. Ukiangalia kwa hzo cut off point utagundua kuwa...
Back
Top Bottom