Search results

  1. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Je ni Taasisi ngapi ambozo zimesho to 50 million,Tuzijue na wakurugenzi wake Wjiuzuru kwa kutoa Rushwa na Shelia ifuate Mkondo wake.
  2. M

    Harusi ya Mdogo wake rais Kikwete Ikulu ndogo Bagamoyo

    Mbona ndugu wengu tu au haujui.mn Sh.u.k na Wajomba kibao
  3. M

    Kwako Umeme unawaka Sasa.

    Sasa umerudi 2108HRS sijui utakatika tena au nizime KIBATARI
  4. M

    Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

    Tulio nje ya kamati kuu tusubiri tuone tusihisi.
  5. M

    Kwako Umeme unawaka Sasa.

    Sasa Hivi 2020hrs
  6. M

    Kwako Umeme unawaka Sasa.

    Hii ni Grid au ni kwetu Sisi wanyonge tu.
  7. M

    Umeme wa maji bado unanafasi kubwa kwetu.

    Tuombe wa Bunge Wote wakatae kupitisha Budget ya Ngelejaee ili wa kubali kuwekeza ktk Umeme wa MAJI.
  8. M

    Tundu Lissu kuitwa kwenye Kamati ya maadili ya madiwani Singida

    Tatizo sio Michango tatizo tunachangia nn?TUNACHANGIA KITU KILICHO KWENYE BUDGET?
  9. M

    Umeme wa maji bado unanafasi kubwa kwetu.

    Ndugu yangu tatizo ni Umeme kweli Lakini huu wa Mafuta wanaoupa kipaumbele hautufa na hakuna atakae weza kuununua kwa bei ya Soko.Tanesco inaomba 16 billion kwa kununua mafuta yakuendesha Generator kwa 1 month,Je hilo linaingia akilini?Generator ndogo kama zile za Kigoma 1 inakunywa 200lts per...
  10. M

    Umeme wa maji bado unanafasi kubwa kwetu.

    Naomba nianze kwa kutaja Mito Mikubwa 3 tu.Kagera,Malagalasi na Rufiji.Tusitafute Mapolomoko ya Maji bali tujenge Mapolomoko.Mfn;Tusijenge Rusumo tusogee chini zaidi Pale tunapoanza kuupata Mto Kagera ndio pajengwe Mapolomoko.Tuache porojo Malagalasi Tanesco wamesha pata sehemu nyingine ambayo...
  11. M

    Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

    @Nyamizi,Inakuwaje Mke umtafute wewe umpende wewe Ufungenae Ndoa wewe,Kisha Umpe Mwenzako Aishinae na Atoe huduma utakazo wewe?HIYO NDIO SELIKALI NA TANESCO ZINAVYO ISHI.
  12. M

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    Tatizo sio kumfukuza,tujiulize je anachokitetea Kinamaslai kwetu.Mimi nafikili kwanza tuanzie Hapo.
Back
Top Bottom