Umejibu Vizuri ila vifungu vya mamlaka haviendani na mada, Jambo la msingi ni kujua kwaninii mashoga wanakuwepo na vyanzo vya anasa hizi ni kitu gani? Je umalaya ni halali ushoga siyo? ulevi ni halali ushoga siyo? Natamani tuwe na mfumo mmoja wa maadili ikiwa ni pamoja na kukataa kumbi za...
Umeongea njema, ulitakiwa ujue aina ya dictator aliyetakiwa na mfumo gani atautumia katika kusimamia utekezaji wa mabadiliko. Kunyimwa uhuru wa habari unapenda? Demokrasia tunayoiimbia kila siku kwamba nchi yetu ni ya kidemokrasia unapenda tulivyo, Tunapenda udictator kweli kutokana na...
Wana lengo, lisipofanikiwa watafungua lingine, mahakama inaweza mwachia huru na akatoka nje ya geti wakamkamata tena kwa kosa lingine. Tuna shida sana , Visasi anatoa Mungu pekee
Hii mijamaa ina silaha ndiyo maana. Waweke polisi kila baada ya nyumba 5 wenye silaha walale kwenye nyumba zao. naamini wauaji wapo mitaani na wanajua kila nyendo na ndiyo maana wanafanya huu upuuzi
Wewe mashaka sana. ulipoambiwa kusoma namba, ulidhania maana yake nini? hizo ni namba na siyo herufi, gangamala soma namba kwa ufasaha, bado za kirumi kisha tuje za kichina
Mbona ni halali mtu kuvuna alichoanda? kama udhalimu mwache alipwe kw udhalimu wake, kama laana aipate kwa kiasi chake, kipimo alichopimia wengine ndicho atakachopimiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.